Video ya Wema sepetu na calisah yavuja.

Status
Not open for further replies.

minji

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
2,751
Reaction score
4,946
video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa [emoji23]sijui lin atatulia loh
 
sipati picha unaweka ulimi hapo kwenye mdomo, ukijia domo alishatemea sana hapo, watu kadhaa kama kumi hivi wanaojulikana walishatemea sana hapo, uo mdobo ulishapiga sana blow job coni za watu, na wewe unaweka ulimi wako hapo, hivi akili zinakuwa zimekutoka? si bora wale ninaoweka bila kujua walilala na kunyosha akina nani? ila anayejitangaza, duh, yataka moyo. bora nitafute mtu wa manzese.
 
Mbona hakuna video Mkuu. Ilete humu maana wengine hatutumii Instagram
 
Hata kama hujui ila c unaamin kuwa watu walishafanya? Ni Yale Yale kushare kawaida madem hawaishiwi skendo na sisi ndo tunawatengenezea skendo ispokuwa Lesbian tu
 
Wa BBA alishakula kasepa now kawaachia wenzie kama wanavyofanyaga wengine
aiise basi sepetunga siyo wa mchezo mchezo.
1.blue kabyser
2.t.I.d
3.mond
4.charz baba
5.yule jamaa wa tabata wakasemaga anafanyabiashara ya sembe ana asili ya kiarabu ilikua 2008
6.idris sultan
7.???
8.mbunge
9.carisal

huyu mdada anakula tu vichwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
nikimwangaliaga huyo dem, huwa inanifanya niwadharau wanawake walio wengi. kichwani kamasi tupu hamna akili. atabaki hivyohivyo hadi uzee unamkuta hana lolote.
Usiseme hivyo kabisa huyu mjinga mmoja asikufanye uwadharau mamis na wanawake wengi,huyu hana akir na mwisho wake umefika wapo kina Faraja Nyarandu ,Nancy Sumari,Happines Magesa mbona wana akir timamu ni yeye tuu ndio hana akir
 
nikimwangaliaga huyo dem, huwa inanifanya niwadharau wanawake walio wengi. kichwani kamasi tupu hamna akili. atabaki hivyohivyo hadi uzee unamkuta hana lolote.
Hivi kweli kuna Ukimwi'''?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…