minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hakuna video Mkuu. Ilete humu maana wengine hatutumii InstagramView attachment 433610 video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa [emoji23]sijui lin atatulia loh
Wa BBA alishakula kasepa now kawaachia wenzie kama wanavyofanyaga wenginekwa hyo kaka yetu yule wa BBA anachake hapo??
Hata kama hujui ila c unaamin kuwa watu walishafanya? Ni Yale Yale kushare kawaida madem hawaishiwi skendo na sisi ndo tunawatengenezea skendo ispokuwa Lesbian tusipati picha unaweka ulimi hapo kwenye mdomo, ukijia domo alishatemea sana hapo, watu kadhaa kama kumi hivi wanaojulikana walishatemea sana hapo, uo mdobo ulishapiga sana blow job coni za watu, na wewe unaweka ulimi wako hapo, hivi akili zinakuwa zimekutoka? si bora wale ninaoweka bila kujua walilala na kunyosha akina nani? ila anayejitangaza, duh, yataka moyo. bora nitafute mtu wa manzese.
sijawahi kumuita mtoto wangu wema, nashukuru Mungu kwa hilo.Tuwe tunaangalia majina yakuwapa wenetu huyu ameitwa wema ndo hivyo tena wema wake ameuhamishia kweny papuchi kila mtu anamkarimu bado mimi tu
aiise basi sepetunga siyo wa mchezo mchezo.Wa BBA alishakula kasepa now kawaachia wenzie kama wanavyofanyaga wengine
Usiseme hivyo kabisa huyu mjinga mmoja asikufanye uwadharau mamis na wanawake wengi,huyu hana akir na mwisho wake umefika wapo kina Faraja Nyarandu ,Nancy Sumari,Happines Magesa mbona wana akir timamu ni yeye tuu ndio hana akirnikimwangaliaga huyo dem, huwa inanifanya niwadharau wanawake walio wengi. kichwani kamasi tupu hamna akili. atabaki hivyohivyo hadi uzee unamkuta hana lolote.
Hivi kweli kuna Ukimwi'''?nikimwangaliaga huyo dem, huwa inanifanya niwadharau wanawake walio wengi. kichwani kamasi tupu hamna akili. atabaki hivyohivyo hadi uzee unamkuta hana lolote.