Kibao
R I P
- Nov 8, 2007
- 631
- 401
Wanasahau kuwa wanaweka kumbukumbu ya wazi isiyofutika watatazama hata vitukuuInahitaji akili ya ziada kuwaelewa vijana wa karne hii.
Kuna muda utafika atakuja jutia kama anayoyafanya ni kweli.
View attachment 433610 video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojia juu ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki sasa leo video imevuja huko instaa kila page inatembea anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa [emoji23]sijui lin atatulia loh