Balqior JF-Expert Member Joined Jun 8, 2021 Posts 2,406 Reaction score 8,039 Apr 18, 2023 #1 Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi
Nliona video ya huu wimbo mwaka 2007, Moja ya mistari yake unaimbwa, (usione twaendeshaa, tunafanya kazii) ×2..video yake ntaipata wapi