AUSTRONAUT
Member
- Jan 19, 2014
- 19
- 10
yah! Hata mimi siamini mpaka mdau wangu warumi anijuze kama kulikuwepo project kama hii!
Ninayo yap na ata audio yake ninayo kwa my smart phone, the song is called cocoa na chocolate , imejumuisha nadhan wasanii mbali mbali from Africa , bongo nimemuona AY na DIAMOND , the song is soooo yummy..
Sasa nimeamini mkuu warumi wewe ni mtu muhimu sana katika kuzibidisha.....kazi njema mkuu warumi