Video ya Wimbo mpya wa wasanii wa Africa wakiwemo Ay na Diamondplatnumz kutoka Tanzania

Video ya Wimbo mpya wa wasanii wa Africa wakiwemo Ay na Diamondplatnumz kutoka Tanzania

AUSTRONAUT

Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
19
Reaction score
10
Ingia hapa kuutizama #TZA Ile video ya Wasanii wa Afrika ambayo Diamond na AYTanzania wamo imetoka tayari.

Last edited by a moderator:
yah! Hata mimi siamini mpaka mdau wangu warumi anijuze kama kulikuwepo project kama hii!
Mkuu hiyo project ilikuwa ni ya D'banj ya kuhamasisha viongoz wa africa kuhusu kilimo especially Cocoa ndio maana wimbo umeitwa cocoa na chocolate
 
Last edited by a moderator:
yah! Hata mimi siamini mpaka mdau wangu warumi anijuze kama kulikuwepo project kama hii!

Ninayo yap na ata audio yake ninayo kwa my smart phone, the song is called cocoa na chocolate , imejumuisha nadhan wasanii mbali mbali from Africa , bongo nimemuona AY na DIAMOND , the song is soooo yummy..
 
Last edited by a moderator:
Ni project ya ONE Org na mashirika mengine kama ANSAF kwa Tanzania kuhimiza Kilimo miongoni mwa vijana yaani Kilimo kinalipa jikite
 
Ninayo yap na ata audio yake ninayo kwa my smart phone, the song is called cocoa na chocolate , imejumuisha nadhan wasanii mbali mbali from Africa , bongo nimemuona AY na DIAMOND , the song is soooo yummy..

Sasa nimeamini mkuu warumi wewe ni mtu muhimu sana katika kuzibidisha.....kazi njema mkuu warumi
 
Domo balaaaaa wajameniii safi sanaa kwa kuimba kiswahili pamoja na Ay
 
Back
Top Bottom