Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Young Killer Msodoki ni mmoja kati ya wasanii wanaonikosha roho likija suala la burudani,hakuwahi kutoa wimbo usipendeze masikioni mwangu.Tumpe sapoti mdogo wetu asije kuwa kama wale waliokuja na kupukutika.Pamoja na kuja kwenye game na kuwakuta madogo wengine kama young D na dogo janja,kaweza kuwakalisha chini mbaya mpaka aibu na tuzo kapata.
Heko young killer msodoki,handsome asiye na matunzo.
* We dada njoo kwangu cheza mwenyewe kama unahisi huko uliko unachezewa. Sio kila young ni killer uwezo utajieleza
Mkufu hata ulishwe pweza hauwezi kusimama wenyewe.

Last edited by a moderator: