Video: Yanga vs Al Ahly wakipigiana penalti baada ya Agreggate kulingana CAFCL 2014

Video: Yanga vs Al Ahly wakipigiana penalti baada ya Agreggate kulingana CAFCL 2014

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
al ahly.jpg

YANGA ikiwa ugenini inapiga mpira mkubwa mnooo, hapa Al ahly mashabiki walikuwa FULL HOUSE
achana na hawa jamaa zetu waliokuwa wakicheza na Al ahly kukiwa na mashrti sharti ya Covid

 
Zipo mkuu kama YANGA 1 MOBEJAIA ya ALGERIA 0, YANGA 2 USM ALGIERS 1, YANGA 1 MC ALGIERS 0
Wakumbushe hao wazee wa kutukana matusi muda wote, pale tu mwekezaji wao akiulizwa zilipo zile bilioni 20 za kuinunua klabu!
 
Hii ndiyo mechi ambayo biala shaka Said Bahanuzi alitulaza mashabiki na viatu kudadek.
 
Ndo utajua okwi MCHAWI tu akawafunga wenzie wasifunge

Shenzi type
 
Dida alijitahidi sana ,kiukweli tulipoteza bonge la bahati pale.
 
Tunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF [emoji23]
Zitaje hizo mechi tatu mfululizo. Tena ujue mwaka huo huo Simba akapenya makundi na kutinga robo fainali, yaani Simba hajawahi kushika mkia kwenye kundi, na Yanga hajawahi kutoshika mkia kwenye kundi (ingawa wanacheza mara chache)
 
Back
Top Bottom