Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Zipo mkuu kama YANGA 1 MOBEJAIA ya ALGERIA 0, YANGA 2 USM ALGIERS 1, YANGA 1 MC ALGIERS 0Hakuna habari nyingine?
Zipo mkuu kama YANGA 1 MOBEJAIA ya ALGERIA 0, YANGA 2 USM ALGIERS 1, YANGA 1 MC ALGIERS 0
Wakumbushe hao wazee wa kutukana matusi muda wote, pale tu mwekezaji wao akiulizwa zilipo zile bilioni 20 za kuinunua klabu!Zipo mkuu kama YANGA 1 MOBEJAIA ya ALGERIA 0, YANGA 2 USM ALGIERS 1, YANGA 1 MC ALGIERS 0
Tunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF [emoji23]Raja Casablanca 6 -0 Yanga
Hapa kuna watu walipigwa mabao 19 katika mechi 6 tu
View attachment 2307696
Hii auTunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF [emoji23]
Ila hawakumbushii vichapo vyao vya aibuImebaki kukumbusha yaliyopita
Zitaje hizo mechi tatu mfululizo. Tena ujue mwaka huo huo Simba akapenya makundi na kutinga robo fainali, yaani Simba hajawahi kushika mkia kwenye kundi, na Yanga hajawahi kutoshika mkia kwenye kundi (ingawa wanacheza mara chache)Tunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF [emoji23]
Hii hapa:Tunataka ile kumbukunbu nyingine ambapo MAKOLO wanapigwa Hamsa Hamsa kwa mechi 3 mfululizo nayo uweke hapa JF [emoji23]