Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Screenshot 2024-11-08 124334.png

Endeleeni kusema huu ndo muda wenu,vipigo mfululizo vikiaanza mtakuwa mnapita kama mnaaga maiti.
 
Tumepoteza mechi 2 tu toka ligi ianze, mechi 2 mnakosa usingizi ..

Mechi tuliyofungwa Jana
Boka, Yao, Baka, Job , wote walikua nje. Anyway iyo Sababu ya sindano haina mashiko tafuteni nyingine, wait for our comeback !

"Yanga Bingwa.
 
Wakuu

Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Manara! Manara! Manara.... Nimekuita mara tatu, kugombamia cheo cha uafisa habari kusikufanye utoe siri za mwajiri wako
 
Yanga kacheza uwanja wa mamelodi. Una cctv kila sehemu.. hizo bomba hazikuonekana

Yanga kacheza uwanja wa Al ahly una cctv kila sehemu ila hizo bomba hawakuziona.

Ila uwanja wa azam ndio zinaonekana
Sasa ulikuwa unataka kusemaje?
 
Toka mwanzo wenye macho ya mbali tuliliona hili chamsingi kama wanatumia waache itakuja kuwaponza
 
Wakuu

Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Hiyo mtu yoyote anaweza kufanya ili tu aichafue Yanga,
Wakuu

Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
 
Endeleeni kusema huu ndo muda wenu,vipigo mfululizo vikiaanza mtakuwa mnapita kama mnaaga maiti.
Jemedari saidi anacheza namba ngap pale simba. Embu msituangushie jumbabovu shuhulikieni matatzo yenu na bundi wenu aliyetua hapo kwenu msihusishe simba na chochote, .nawasikia mashabiki maandaz wanasema simba wanashirikiana na azam eti kuihujumu yanga
, Mna wazimu kweli sisi ndio tuliwatuma mtumie sindano mnazojichoma sjui za nini pumbav. Pambaneni na hali zenu. Kwanza tulishakubaliana simba ni timu mbovu tumesajili watoto na marastafarians tunajitafuta iache iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom