Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Ushabiki wa mpiraTanzania ni madness........Wakuu
Kuna hii video imezua mijadala kuhusu tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share
Walishindwa kiondoka nayo kwenye mikoba?Wakuu
Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
NakaziaWewe na huyo jemedari ni wapumbavu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Wakuu
Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Kwanini mkuu?Ushabiki wa mpiraTanzania ni madness........
😀Manara! Manara! Manara.... Nimekuita mara tatu, kugombamia cheo cha uafisa habari kusikufanye utoe siri za mwajiri wako
Sasa ulikuwa unataka kusemaje?Yanga kacheza uwanja wa mamelodi. Una cctv kila sehemu.. hizo bomba hazikuonekana
Yanga kacheza uwanja wa Al ahly una cctv kila sehemu ila hizo bomba hawakuziona.
Ila uwanja wa azam ndio zinaonekana
Hiyo mtu yoyote anaweza kufanya ili tu aichafue Yanga,Wakuu
Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
Wakuu

Jemedari saidi anacheza namba ngap pale simba. Embu msituangushie jumbabovu shuhulikieni matatzo yenu na bundi wenu aliyetua hapo kwenu msihusishe simba na chochote, .nawasikia mashabiki maandaz wanasema simba wanashirikiana na azam eti kuihujumu yangaEndeleeni kusema huu ndo muda wenu,vipigo mfululizo vikiaanza mtakuwa mnapita kama mnaaga maiti.