Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

SINDANO ZA KUONGEZA NGUVU FC
HAMISA MOBETO FC
KUMBATIA NYUKI ULE ASALI FC
SUPU YA NG'OMBE FC
TATU BILA FC
MANYANI NA MAMMBWA FC
LUC EYMAEL FC
WENYE AKILI WAWILI TU FC
GETI LA NYUMA FC
KIMOKO CHA AZAM FC
GAMONDI BONDIA FC
WAMWAGA UNGA KWENYE MAGETI FC.
WACHAWI FC
MAJINI YA BAHARINI FC
MR. MPILI MCHAWI MKUU YANGA FC
 
Toka mwanzo wenye macho ya mbali tuliliona hili chamsingi kama wanatumia waache itakuja kuwaponza
halaf ukizoea inakufanya uwe mraibu kama mlevi wa madawa ya kulevya ..mwisho wa siku itatokea mchezaji kadondoka bwiii mara mapovu..
 
Siyo majini tena? Sasa ni sindano... Bado hamjasema na mtasema. Ngoja mwenye kadi nyekundu, majeruhi warudi mtakuja na mengine. Na huyo Jemedari ni 🚮
 
Wenye Jamii Forums hebu futeni huu uzi na kisha pga BAN ''''WAUFUKWENI "' Naona analeta uongo na mda chonganishi !
Anataka kuharibu sfa ya mpira wetu
 
Maybe ni busta ya kimya. Ila kamere
.maybe busts ila kamere kuzibwa indeed tume ichunguze. Ni kwanini na sababu gani? Nani aliye toa ruhusa uovu hii utendeke.
 
najaribu kuangalia hii video mara mbili mbili sioni km hii video inawahusu yanga,hata maelezo ya jemedari hayajasema hii video ni ya timu gani...amakweli KICHWA KISICHO NA AKILI MZIGO KWA SHINGO
 
Manara! Manara! Manara.... Nimekuita mara tatu, kugombamia cheo cha uafisa habari kusikufanye utoe siri za mwajiri wako
Mnajitekenya na mnakazisha uadui kati ya Manara na wana Yanga. Mzee wa Watu hana hizo. Tafuteni sababu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…