Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe Vimeo ni blog ya mtu? Ukiwa na high end device unaplay video mahali hapo hapo ilipo( Hata kama uko kwenye Message App).Mods: Naomba hawa watu wanaolazimisha traffic kwa kuweka video ambazo lazima u-visit blog yake, mzifute mara moja. Naamini kunauwezekano wa kucheza moja kwa moja kwa video hapa JF bila kupitia mablog hasa hiyo vimeo. Naomba sana hii kitu inanikera sana. Najua nawao ni watafutaji but waende correct platform yaani matangazo ya biashara. Asante.
Mods: Naomba hawa watu wanaolazimisha traffic kwa kuweka video ambazo lazima u-visit blog yake, mzifute mara moja. Naamini kunauwezekano wa kucheza moja kwa moja kwa video hapa JF bila kupitia mablog hasa hiyo vimeo. Naomba sana hii kitu inanikera sana. Najua nawao ni watafutaji but waende correct platform yaani matangazo ya biashara. Asante.