John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
How waimarishe ujenzi??
Rais aanze kuweka wazi taarifa zingine zote ambazo uchunguzi wake tayari umefanyika na umekamilika.
Mshana kumbe unabeba vyuma mkuu
Huyu mkaramba yeye ana jukumu moja tu kwenye kadhia hii, kumsifu Rais na awamu ya sita hata kama kasepa siku hiyo ya tukio kuelekea Brazil π²