BIG Africa
Member
- Oct 15, 2022
- 85
- 118
Habari zenu,
Mara nyingi ninapokuwa naperuzi YouTube kuangalia videos mbalimbali nimekuwa nikikutana na videos za ajabu ajabu, videos ambazo mara nyingi huwahusu wanawake ambao huwa wanatoa ushuhuda au kuelezea matukio mbalimbali ya kingono ambayo wamewahi kukutana nayo.
Kwa mfano, unaweza ukamuona mwanamke anaelezea jinsi alivyofanya mapenzi na shemeji yake, mume wa mtu au hadi wanyama nk.
Sasa hapo huwa najiuliza hizo videos ni za kweli au wakina mama wa watu wamefuatwa na wamiliki wa hizo YouTube channels waelezee tu uwongo uwongo halafu wanakuwa wanalipwa?
Binafsi kama mimi sidhani kama videos ni za kweli. Tangu lini mbwa akawa na uwezo wa kumpa mimba binadamu?