VIDEO: Zamaradi aonyesha White house yake na mume wake

Nyumba sijaiyona sababu mb zake ni 8.6, ila bado siwezi kuishi kwenye nyumba kama hiyo labla niipangishe nyumba ndogo sana swimming pool kadogo khaa nyumba za ma middle class hizo
 
Huyu dada ni kama yupo confused hivi....

Anajipambanua kama mtu maarufu asiependa mambo ya sifa na kujionyesha,at the same token kapiga picha nyumba yake na kujionesha mitandaoni....

Hua dhamira ni kutaka watu wakutambue wewe ni nani na upate hongera za hapa na pale.Sababu eti naonesha ili ku-inspire others ni sababu moja ya uongo na kinafiki sana,the bottomline ni kuwataarifu wananchi kua umepata na umepiga hatua ya maisha ili wakusifie.Angeishi kwenye nyumba yake bila wananchi kutambua kua ni yake anaona itakua ni upungufu sana.

Ila sina shida na waonesha mali na maendeleo yao,ila sababu wanayoitumia ya "ku-inspire" wengine ni ya uongo,its time people come clean!
 
Do Ya thing NIGGA,achana na maendeleo ya Wanawake.
 
Nyumba sijaiyona sababu mb zake ni 8.6, ila bado siwezi kuishi kwenye nyumba kama hiyo labla niipangishe nyumba ndogo sana swimming pool kadogo khaa nyumba za ma middle class hizo
Cha mkosaji hicho.. una husda kama mwanamke wa alieko labour..ukute unaishi kwa wazazi au kwa bwana.. nyumba iko vizuri hio tena ni ya kitajiri.. majumba makubwa peleka kwa waarabu huko.fyuuu.
 
yako kubwa iko wapi?karoho ka kimaskini
 
yako kubwa iko wapi?karoho ka kimaskini
 
Hongera Sana Zamaradi na Mume wako kwa Mjengo wa maana,ni hatua Kubwa sana uliyoipiga.

Nyumba ni fense na Space na hilo umezingatia.
 
yako kubwa iko wapi?karoho ka kimaskini



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kama umemvalia njuga hivi..

Ila all is well..wote mmetoa views,rightfully so...

Imagine angeamua labda kutokupost,umiliki wa hizo mali zake utakua na upungufu wowote labda?

Mpaka mtu anaposti kitu ni lazima ana sababu hususani mali..Kuna watu wame tagetiwa hapo,sio bure!
 
Yule mtangazaji wa clouds fm aliekua na mke wa boss wa clouds ameonysha mjengo wake ambao haujakamilika akiuita small whitehouse, ikiwa half court ya basketball na swimming pool likiwa linajengwa. Big up kwake
Kaanza na Servant kota. IKo powa tu. Huo ukuta wa fensi peke yake gharama yake kuna watu wanaweza jengea nyumba kabisa. BIG UP Mdada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…