cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Yako ndogo zaidi iko wapo?Mbona ndogo sana ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yako ndogo zaidi iko wapo?Mbona ndogo sana ?
Kwani guest house hio????Mbona ndogo sana ?
Do Ya thing NIGGA,achana na maendeleo ya Wanawake.Huyu dada ni kama yupo confused hivi....
Anajipambanua kama mtu maarufu asiependa mambo ya sifa na kujionyesha,at the same token kapiga picha nyumba yake na kujionesha mitandaoni....
Hua dhamira ni kutaka watu wakutambue wewe ni nani na upate hongera za hapa na pale.Sababu eti naonesha ili ku-inspire others ni sababu moja ya uongo na kinafiki sana,the bottomline ni kuwataarifu wananchi kua umepata na umepiga hatua ya maisha ili wakusifie.Angeishi kwenye nyumba yake bila wananchi kutambua kua ni yake anaona itakua ni upungufu sana.
Ila sina shida na waonesha mali na maendeleo yao,ila sababu wanayoitumia ya "ku-inspire" wengine ni ya uongo,its time people come clean!
Cha mkosaji hicho.. una husda kama mwanamke wa alieko labour..ukute unaishi kwa wazazi au kwa bwana.. nyumba iko vizuri hio tena ni ya kitajiri.. majumba makubwa peleka kwa waarabu huko.fyuuu.Nyumba sijaiyona sababu mb zake ni 8.6, ila bado siwezi kuishi kwenye nyumba kama hiyo labla niipangishe nyumba ndogo sana swimming pool kadogo khaa nyumba za ma middle class hizo
Do Ya thing NIGGA,achana na maendeleo ya Wanawake.
yako kubwa iko wapi?karoho ka kimaskini
Kaanza na Servant kota. IKo powa tu. Huo ukuta wa fensi peke yake gharama yake kuna watu wanaweza jengea nyumba kabisa. BIG UP Mdada.Yule mtangazaji wa clouds fm aliekua na mke wa boss wa clouds ameonysha mjengo wake ambao haujakamilika akiuita small whitehouse, ikiwa half court ya basketball na swimming pool likiwa linajengwa. Big up kwake