Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Wakati mrembo wetu Wema akiwa hapa Tz akituonyesha wowowo, yule mshindan wake kutoka Uganda amewasili kwa mualiko rasmi wa kupiga deal ya tangazo la pampers hapa Tanzania.
Hongera Zari fanya kazi mkono uende kinywani, watoto wapate elimu nzuri.
Achana na team upupu na mashindano yasiyo maana mtu kama Wema hana cha kupoteza, hana mtoto hana mtegemezi.
Wale wenye team huko IG Leo full kuchambana tu wabongo tuna shida haswaa!
Hatuna jema sie!!