VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

VIDEO: ZARI aingia bongo kimya kimya kusaini Deal na Keds

Bravo East Africa mwenye nacho huongezewa goo zari Mungu atazidi kukubaliki wale watoto yatima wa ivan utawalea kwa uwezo wa Mungu milango izidi kufunguka milele amen!
Ukiachana na East africa union Pia umezaa watoto wawili na mtanzania nillan na latifa wenye wivu na vijiba na roho mbaya am soreeeee
[HASHTAG]#mpewa[/HASHTAG] hapokonyeki#

Ana kila sababu kupata tangazo la pempars kazaa watoto 6 na bado yuko safii.
 
Kla kona team team ngoja na mimi nianzishe team yangu ya kusonya kila tutakacho kiona nisha choka sasa
 
Zari ni Malaya, aliingia mkataba na MONDI wa kukaa pamoja kwa muda, na ilipofika time dogo akaambiwa ajichanganye ili wazue mgogoro kwani wangeachana bila sababu basi Zari heshima ingeshuka ingeonekana ni malaya anajiuza. Zari hana toafuti na wale wa kindoni ila yeye kajiwekea profile ya umalaya wa hali ya juu.
Unatuelement twa umalaya!
 
Proudly Tanzania.

Wema sepetu

1. miss in Tanzania since 2006
2.Business woman
3. Owner of ENDLESS FRAME company.
4. A mother of two children.
5. Net worth is about $ 1.5 milion us dollar.


[emoji1] [emoji23] [emoji119]
Wee nae
 
Mwanamke (read influencer) ambae angeweza kuwa na commercial influencing power kwa Tz ni Wema!

Sasa kama wewe ni director au marketing director wa kampuni husika; hivi ungeweza kumpa mtu kama Wema ubalozi?!

Unaweza kumpa mtu kama Jokate ubalozi wa bidhaa za watoto wakati c ajabu hata ku-change pampers kwenyewe hajui!!

Kwanza kuna vitu vingine hata ukifanya, havi-make sense kabisa!!

Maybe Hamisa lakini sioni kama Hamisa ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Zari! Sana sana ninachokiona kwenye Instagram account yake ni more of Zari's haters kuliko loyal fans!

So, nothing personal; it's business! Sema muhimu ndo hiyo; je, ana work permit!!
Labda kusaidia tu.
Work permit ni kibali cha kufanya kazi - ajira. Wanapewa wanaoanzisha biashara - investors au mwenye biashara na wanaoajiriwa au kujitolea kufanya kazi.
Hii deal aliyoingia Zari sidhani kama ni ajira. Huwezi kumuita mfanyakazi wa keds. Yeye ni brand ambassador tu. Haitaji kuishi Tanzania. Haitaji work permit wala residence permit.
 
Back
Top Bottom