Video: Zari aondoa stress za mimba ya Hamisa Mobeto kwa Style Hii

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Zarithebosslady mama watoto wa diamond platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata viuno yaani viuno bila mfupa.
Inasemekana Zari na Diamond Platinumz wako kwenye missunderstanding iliyomfanya Zari kukimbilia Uganda kupunguza stress za mume wake diamond baba tifa kumpa mimba Hamisa Mobeto na kuwa na mahusiano na warembo wengine.

Zari kiuno hakina mfupa vepeeee?​
 
Moyo mashine

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Ila uyu mama ana mguu bomba sijawahi ona kwa maceleb wote bongo
 
Naona jana kamkumbuka Ivan

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ivan akiwa hali ulimsimanga leo unamkumbuka? Wew ulijuwa unawazidi warembo wote wa tz mondi hana neno kwako? Ahaaa subiri kuna kingine kifaa kipya soon kinachukua nafasi.

Ukipendwa pendeka ivan ndo aliyekuwa mwenye mapenzi kwako huku bongo utapwaya. Na anawatafuna kukukumbusha hata uliemwavha alikuwa mwanaume kama mond na bado.kuna siku utafunga kila kilichochako uage tz.

Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza? Zari kama ulishindikana kwa ivan mondi atakuwezea wap?

Trust me one day utamkumbuka ivan
 
Wanawake huwa ni wajinga sana .....wana tabia ya kuchukia wanapopendwa na kupenda wasipopendwa dawa yao ni kuwapiga gegedo tu pindi wanapokuwa available.
 
Sasa hapa unamwambia zari au sisi wasomaji
Hayo maneno mfate insta ktk page yake ukamwambie naona hapo kama vile sio sahihi
 
neno kuntu hili... wanasemaga mkataa pema pabaya panamwita....ivan alikuwa muungwana sana hata walipoachana hakuwahi kujihusisha na uhuni uhuni wa wazi wazi alijitahi kulea watoto wake kiimaadili. lkn dada yetu kutwa alikuwa anabadili mabwana na kuwaonyesha hadharani.. .na kujirecord anajichujua juu.
sasa amepatikana kwa mtandale mbona atajuta
 
We maisha yake na Ivan unayajuwaje ? Unakurupuka tuu tu tu tu, tafuta kazi yakufanya maisha yawengine hayakuhusu .

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We maisha yake na Ivan unayajuwaje ? Unakurupuka tuu tu tu tu, tafuta kazi yakufanya maisha yawengine hayakuhusu .

Post sent using JamiiForums mobile app
Hujitambui mm na wewe nani wa kutafuta kazi? Kapimwe akiri mdogo wangu.
 
Umeona ehee? Na bado watamkomoa
 
Sasa hapa unamwambia zari au sisi wasomaji
Hayo maneno mfate insta ktk page yake ukamwambie naona hapo kama vile sio sahihi
Insta kwa watoto nifate nn? Uzi umeletwa hapa naandika hapa hapa wapambe wake si wapo? Au yeye unajuaje kama hayupo jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…