Video: Zari aondoa stress za mimba ya Hamisa Mobeto kwa Style Hii

Video: Zari aondoa stress za mimba ya Hamisa Mobeto kwa Style Hii

hakuna cha mimba wala ushuzi hamisa anajua baba wa mwanae acheni uzushi
 
Ivan akiwa hali ulimsimanga leo unamkumbuka? Wew ulijuwa unawazidi warembo wote wa tz mondi hana neno kwako? Ahaaa subiri kuna kingine kifaa kipya soon kinachukua nafasi.

Ukipendwa pendeka ivan ndo aliyekuwa mwenye mapenzi kwako huku bongo utapwaya. Na anawatafuna kukukumbusha hata uliemwavha alikuwa mwanaume kama mond na bado.kuna siku utafunga kila kilichochako uage tz.

Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza? Zari kama ulishindikana kwa ivan mondi atakuwezea wap?

Trust me one day utamkumbuka ivan
Wabongo bwana wapi aliwahi kumsimanga ivan?
 
Ashakum si matusi, lakini ngoja niishie hapa tu.
 
Ivan akiwa hali ulimsimanga leo unamkumbuka? Wew ulijuwa unawazidi warembo wote wa tz mondi hana neno kwako? Ahaaa subiri kuna kingine kifaa kipya soon kinachukua nafasi.

Ukipendwa pendeka ivan ndo aliyekuwa mwenye mapenzi kwako huku bongo utapwaya. Na anawatafuna kukukumbusha hata uliemwavha alikuwa mwanaume kama mond na bado.kuna siku utafunga kila kilichochako uage tz.

Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza? Zari kama ulishindikana kwa ivan mondi atakuwezea wap?

Trust me one day utamkumbuka ivan
Wapi ulishuhudia akimsimanga Ivan?
Wewe unajua chanzo cha kuachana kwao?
 
20184612_1139268409511766_6584003389514842112_n.jpg
20066543_316631958795954_5170909696877395968_n.jpg
 
Hayajawahi kukupata nyamaza
Jibu hoja maana watu full kushadadia maisha ya watu wakati wanaoana hawakuwashirikisha na hamjui kwanini waliachana na kwanini zari aliachana na ivan na mali zote ivan alizokuwa nazo still akamuacha.
Wangapi kwani wanaachana mtu kama anaona ndoa ina majanga anaacha anatafuta kwingine ndiyo maana ivan still alimuamini mzazi mwenzake hata walipokuwa wameachana.
 
Kiuno kigumu bado,,yule dada yake ashutala asirudie kujirekodi kiuno gani hicho khaa!!kama greda linakata kona
 
Back
Top Bottom