Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
ya wemer imempitaIla uyu mama ana mguu bomba sijawahi ona kwa maceleb wote bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya wemer imempitaIla uyu mama ana mguu bomba sijawahi ona kwa maceleb wote bongo
Ohoooooo!!!!
Wabongo bwana wapi aliwahi kumsimanga ivan?Ivan akiwa hali ulimsimanga leo unamkumbuka? Wew ulijuwa unawazidi warembo wote wa tz mondi hana neno kwako? Ahaaa subiri kuna kingine kifaa kipya soon kinachukua nafasi.
Ukipendwa pendeka ivan ndo aliyekuwa mwenye mapenzi kwako huku bongo utapwaya. Na anawatafuna kukukumbusha hata uliemwavha alikuwa mwanaume kama mond na bado.kuna siku utafunga kila kilichochako uage tz.
Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza? Zari kama ulishindikana kwa ivan mondi atakuwezea wap?
Trust me one day utamkumbuka ivan
Wapi ulishuhudia akimsimanga Ivan?Ivan akiwa hali ulimsimanga leo unamkumbuka? Wew ulijuwa unawazidi warembo wote wa tz mondi hana neno kwako? Ahaaa subiri kuna kingine kifaa kipya soon kinachukua nafasi.
Ukipendwa pendeka ivan ndo aliyekuwa mwenye mapenzi kwako huku bongo utapwaya. Na anawatafuna kukukumbusha hata uliemwavha alikuwa mwanaume kama mond na bado.kuna siku utafunga kila kilichochako uage tz.
Mfupa ulomshinda fisi binadamu ataweza? Zari kama ulishindikana kwa ivan mondi atakuwezea wap?
Trust me one day utamkumbuka ivan
hahahaha hivi wewe binti kweli Zari ana kushinda kukatika?dah tuache yote demu anakatika
nakatika wapi sasa .. mgongo?hahahaha hivi wewe binti kweli Zari ana kushinda kukatika?
Nikikwambia then?Wapi ulishuhudia akimsimanga Ivan?
Wewe unajua chanzo cha kuachana kwao?
Hayajawahi kukupata nyamazaWabongo bwana wapi aliwahi kumsimanga ivan?
Jibu hoja maana watu full kushadadia maisha ya watu wakati wanaoana hawakuwashirikisha na hamjui kwanini waliachana na kwanini zari aliachana na ivan na mali zote ivan alizokuwa nazo still akamuacha.Hayajawahi kukupata nyamaza
Bibi mzima anakata mauno kusherehekea kifo cha mzazi mwenzake.
HaswaaaDangote anatuwakilisha vema katika kukitumia hiki kiuno
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miss chaga usivunje mbavu zangunakatika wapi sasa .. mgongo?