Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Saivi hatuko naye tena... Alionywa hakawa na kichwa kikubwa, wakaombwa Maaskofu wamuombe atulie yeye akawananga hadharani na kasema anahitaji 6B yake....

Hakuelewa kuwa haelewi kitu, wakamdanganya kuwa 'wewe ni kachelo mbobevu' kumbe Dunia ishabadilika pakubwa-Hakutambua wakati uliofaa!
Waliosema dunia hadaa ulimwengu shujaa waliona mbali
 
Waliosema dunia hadaa ulimwengu shujaa waliona mbali
Weacha tu! Dakika ya 89... Ikifika ya 90 anafunga goli na atakuwa Ikulu..akishika kalamu Nyekundu na kutia sahihi Kila Mtanzania atashangilia.

Na akafanya kweli..na huyu ndo alikuwa mastermind wao. Badae ikagundulika wanamuandaa msonobali uingie shambani Ili uote..mizizi ikamwagiwa zege Sasa umekauka!
 
Alichosema Zitto Kabwe kina tofauti gani na msimamo wa Papa??
 
Hata huko ughaibuni kwa weupe walianza na hoja ya kutoingilia faragha za watu then baadae wakaja na hoja kutambua mahusiano ya jinsia moja.

Now days wameruhusu mashoga na wasagaji kufunga ndoa na kuanzisha familia.

Sasa hivi wanajuta maana wameshaanza kuwafundisha watoto wadogo mashuleni maswala ya ushoga na kujibadili jinsia.
Msimamo wa Zitto hauko mbali na wa Papa
 
Zitto kanifanya nicheke sana yani kumbe kuna namna ya kujibu hili swali ambayo haitakuwa na makali sana.

Yani kuna ujibuji wake wa hili swali ambapo haitaonesha kuwa unapinga ushoga bila

Lakini viongozi wetu kwanini kwenye ishu ya kupinga ushoga wanakuwa na kauli za kusita (indirect) lakini kwenye kukemea madada poa wanaenda straight?

Natamani hili swali aulizwe Chalamila siku moja
Msimamo wa Zitto hauko mbali na wa Papa
 
Back
Top Bottom