Video: Zitto Kabwe alitabiri ujio wa Kicheere mwaka 2018

Video: Zitto Kabwe alitabiri ujio wa Kicheere mwaka 2018

Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.

Sikiliza hiyo video
View attachment 1253825
Bro zito, ndugai ana kisukari, achana naye, huwa kinapanda anafanya mambo ya ajabu sana.

Alimpiga mgombea mwenzake rungu la kichwa jamaa akazimia, hata wewe anaweza kuku-tundulissu
 
Nasubiria Nabii Mwanasiasa aseme neno moja tu, kwamba Prof Assad ameondolewa kwa sababu zetu zile....
Mwanasheria Mkuu wa Serikali hawezi kusema kitu kwa kuwa ni part ya Magufuri bandwagon!! Jiwe hawezi kufanya kazi na watu wenye akili zao. Killangi haja qualify kuwa AG, amepata kazi hiyo kwa "Usukuma wake"
 
Zitto ni msaliti wa nchi. Ajiandae kustaafu ubunge.
Zitto is part of those who made Assad lose his position.
Huwezi kuwa katika nafasi nyeti kiserikali halafu unaendeleza uswahiba wa kidini na kina Zitto.

Tuko na JPM2020[emoji1241][emoji818]
 
Kwahiyo jamaa ni nabii mwanasiasa au alishatonywa?
Anatumia akili kutafsiri matukio na kuelewa mustakabali. Wewe kama ulikuwa hujui kwamba Assad alikuwa anafanyiwa zengwe ili ang'oke basi una upeo mdogo wa kufikiri hata kuona kuwa yeye ni mtabiri au alitonywa na mtu juu ya hilo.
 
Zitto is part of those who made Assad lose his position.
Huwezi kuwa katika nafasi nyeti kiserikali halafu unaendeleza uswahiba wa kidini na kina Zitto.

Tuko na JPM2020[emoji1241][emoji818]
Hivi kwa akili yako unamuona Prof Abbas ni mtu wa kuyumba au kulamba soli ya kiatu cha dikteta? Never on earth ndiyo maana kaniambia anakwenda kupima bamia. Kaifananisha kazi ya CAG na kilimo cha bamia.
 
ZZK ni mtu mwenye hila kama za Shetani wakati anamwendea Hawa kumhadaa.

He's smart to twist words.
Ndiyo maana hata CDM walimtimua kwa kumwita msaliti. Wakati huo hatukujua mengi kwa sasa tunaweza kuona waziwazi.

Wakati wote Dr. Slaa akiwa katibu Mkuu wa CDM na ZZK akiwa Naibu wake hakuwahi kukaimu Ukatibu Mkuu. Na mara zote aliachiwa John Mnyika kukaimu; simply because ZZK haaminiki.

Bila shaka 2020 Wanakigoma hawatampa nafasi tena kuingia kwenye nyumba ya kutunga sheria
 
Wewe ni mgeni kwenye siasa. Unafiki ndiyo qualification ya kwanza ya wana siasa. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.

Huyu Bashite ambaye anawa fuatilia na kuwanyanyasa akina Benard Membe kwa sasa aliishi nyumbani kwa membe kula na kulala kuanzia mwezi May 2015 hadi Oktoba alipoteuliwa na JK kuwa DC Kinondoni kwa ushawishi wa Membe.
 
Hivi siku Zitto asipokuwepo, na ACT imekufa!?

Marehemu baba wa taifa alisema"dhambi ya ubaguzi ni endelevu" wakiondoka CHADEMA , ACT na wengine upinzani rasmi, tutagundua kuwa miongoni mwetu bado kuna wapinzani
 
Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.

Sikiliza hiyo video
View attachment 1253825
Duuh !!!! Kumbeeee. Limefanyika ,limetekelezwa, Yametimiaaaaa. CAG wa Magufuli ameteuliwa. Nashauri bunge na mahakama vifutwe serikali iendelee na mambo yote. Iongoze ,ihukumu, na ipange bajeti yenyewe na kutumia yenyewe
 
Uzandiki unaofanywa unazidi kuongeza idadi ya upinzani tz wao wanajua watapendwa kumbe ndio wafuasi wa upinzani wanazidi
 
Duuh !!!! Kumbeeee. Limefanyika ,limetekelezwa, Yametimiaaaaa. CAG wa Magufuli ameteuliwa. Nashauri bunge na mahakama vifutwe serikali iendelee na mambo yote. Iongoze ,ihukumu, na ipange bajeti yenyewe na kutumia yenyewe
Katiba inaruhusu hilo kufanyika kama kuna hali ya hatari. Huyu Jiwe ametufanya tuishi kama tuko kwenye hali ya hatari, kumbe anatengeneza mazingira ya upigaji bila kuhojiwa.
 
Nadhani anazungumzia hapo kwenye dakika ya 5:33 labda kama hujasikiliza clip yote.
Shukrani kwa kumuelekeza, maana watu wengine wamekuwa akili za kuvukia barabara tu. You can't imagine anataka kuleta lugha ya dharau na kashfa wakati hajaimaliza kuiangalia clip.
 
hahahahahaahha comments za kisiasa zinachekesha huku zinaliza
 
Bro zito, ndugai ana kisukari, achana naye, huwa kinapanda anafanya mambo ya ajabu sana.

Alimpiga mgombea mwenzake rungu la kichwa jamaa akazimia, hata wewe anaweza kuku-tundulissu
[/QUOTE

Lazima ajue hayo .labda walijadili kwenye madrasa
 
Yes Zitto amepita mulemule, alichosoma ndicho kimetokea. Tumeletewa CAG ambaye yuko compromised. Halafu Magufuri anajisahau sana anamuambia eti ukipata maagizo kutoka Bungeni kayatekeleze !!
Katiba inampa independence CAG ila yeye Magufuri anafanya mambo bila kusoma Katiba wala AG hamshauri vizuri

Na kwa kuongezea alisema Jamaa asiende kujifanya ni Mhimili..
 
Back
Top Bottom