Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Bro zito, ndugai ana kisukari, achana naye, huwa kinapanda anafanya mambo ya ajabu sana.Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.
Sikiliza hiyo video
View attachment 1253825
Alisoma ramani ya mchezo wote aliokuwa anafanyiwa Prof Assad
Mwanasheria Mkuu wa Serikali hawezi kusema kitu kwa kuwa ni part ya Magufuri bandwagon!! Jiwe hawezi kufanya kazi na watu wenye akili zao. Killangi haja qualify kuwa AG, amepata kazi hiyo kwa "Usukuma wake"Nasubiria Nabii Mwanasiasa aseme neno moja tu, kwamba Prof Assad ameondolewa kwa sababu zetu zile....
Zitto is part of those who made Assad lose his position.Zitto ni msaliti wa nchi. Ajiandae kustaafu ubunge.
Anatumia akili kutafsiri matukio na kuelewa mustakabali. Wewe kama ulikuwa hujui kwamba Assad alikuwa anafanyiwa zengwe ili ang'oke basi una upeo mdogo wa kufikiri hata kuona kuwa yeye ni mtabiri au alitonywa na mtu juu ya hilo.Kwahiyo jamaa ni nabii mwanasiasa au alishatonywa?
Zitto ni msaliti wa nchi. Ajiandae kustaafu ubunge.
Hivi kwa akili yako unamuona Prof Abbas ni mtu wa kuyumba au kulamba soli ya kiatu cha dikteta? Never on earth ndiyo maana kaniambia anakwenda kupima bamia. Kaifananisha kazi ya CAG na kilimo cha bamia.Zitto is part of those who made Assad lose his position.
Huwezi kuwa katika nafasi nyeti kiserikali halafu unaendeleza uswahiba wa kidini na kina Zitto.
Tuko na JPM2020[emoji1241][emoji818]
Wewe ni mgeni kwenye siasa. Unafiki ndiyo qualification ya kwanza ya wana siasa. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.ZZK ni mtu mwenye hila kama za Shetani wakati anamwendea Hawa kumhadaa.
He's smart to twist words.
Ndiyo maana hata CDM walimtimua kwa kumwita msaliti. Wakati huo hatukujua mengi kwa sasa tunaweza kuona waziwazi.
Wakati wote Dr. Slaa akiwa katibu Mkuu wa CDM na ZZK akiwa Naibu wake hakuwahi kukaimu Ukatibu Mkuu. Na mara zote aliachiwa John Mnyika kukaimu; simply because ZZK haaminiki.
Bila shaka 2020 Wanakigoma hawatampa nafasi tena kuingia kwenye nyumba ya kutunga sheria
Nadhani anazungumzia hapo kwenye dakika ya 5:33 labda kama hujasikiliza clip yote.Sasa utabiri uko wapi hapo? Watu kama ninyi ndio mnaowapa vichwa hawa wazushi akina Kigogo.
Hivi siku Zitto asipokuwepo, na ACT imekufa!?
Duuh !!!! Kumbeeee. Limefanyika ,limetekelezwa, Yametimiaaaaa. CAG wa Magufuli ameteuliwa. Nashauri bunge na mahakama vifutwe serikali iendelee na mambo yote. Iongoze ,ihukumu, na ipange bajeti yenyewe na kutumia yenyeweMwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.
Sikiliza hiyo video
View attachment 1253825
Katiba inaruhusu hilo kufanyika kama kuna hali ya hatari. Huyu Jiwe ametufanya tuishi kama tuko kwenye hali ya hatari, kumbe anatengeneza mazingira ya upigaji bila kuhojiwa.Duuh !!!! Kumbeeee. Limefanyika ,limetekelezwa, Yametimiaaaaa. CAG wa Magufuli ameteuliwa. Nashauri bunge na mahakama vifutwe serikali iendelee na mambo yote. Iongoze ,ihukumu, na ipange bajeti yenyewe na kutumia yenyewe
Shukrani kwa kumuelekeza, maana watu wengine wamekuwa akili za kuvukia barabara tu. You can't imagine anataka kuleta lugha ya dharau na kashfa wakati hajaimaliza kuiangalia clip.Nadhani anazungumzia hapo kwenye dakika ya 5:33 labda kama hujasikiliza clip yote.
Bro zito, ndugai ana kisukari, achana naye, huwa kinapanda anafanya mambo ya ajabu sana.
Alimpiga mgombea mwenzake rungu la kichwa jamaa akazimia, hata wewe anaweza kuku-tundulissu
[/QUOTE
Lazima ajue hayo .labda walijadili kwenye madrasa
Yes Zitto amepita mulemule, alichosoma ndicho kimetokea. Tumeletewa CAG ambaye yuko compromised. Halafu Magufuri anajisahau sana anamuambia eti ukipata maagizo kutoka Bungeni kayatekeleze !!
Katiba inampa independence CAG ila yeye Magufuri anafanya mambo bila kusoma Katiba wala AG hamshauri vizuri
Zitto amekataa hesabu za ATCL zisikaguliwe?Zitto ni msaliti wa nchi. Ajiandae kustaafu ubunge.