Videos: Nelly na wenzake humu wamekazania naishi Uswizi wakati naishi Copenhagen Denmark

Videos: Nelly na wenzake humu wamekazania naishi Uswizi wakati naishi Copenhagen Denmark

Aisee kwaiyo umekuja kumfanya Parabora naye ajibu mapigo.

Mbona mnahangaika sana na watu?. ... Huwez amini pamoja na video izo ( sijazifungua) , bado kuna watu HAWATOKUAMINI kabisa kabisa kua ni wewe uliyezichukua.

Yaan watu watataka kuona hata Sura yako, Ili hali hawakujui hata ukiwaonyesha Sura ya Ronadinho Gauch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja huyo tulikutana kwenye ule uzi wa kina Lusungo and co... lile lisredi lao kuu humu jf kuhusu 'channel' na 'koneksheni' za kwenda ng'ambo.

Nakumbuka ule Uzi ulitembea kwa speed ya 4G, na ninaamini 'vichwa' vingi vilinyolewa kimya kimya kwa mundu butu!

Afterwards , nikapokea PM. Akajitambulisha kuwa yeye yupo UK kwa malkia, na some further brah brah za bata la Ulaya. From my experience on cyber life, such dude sounded fake instantly!

Kabla hata sijajibu salaam yake, nilianza na maswali mawili tu, nayanukuu....

"1. Kiongozi, lengo kuu la kuniPM ni nini? as I don't entertain unsolicited pm'ing"

"2. Upo UK ipi mkuu, ya UKonga? ama ya UKerewe?

Tangu kipindi hicho hadi leo hii, Last seen ya huyo mduwanzi ni hiyo tarehe na muda nilomjibu text yake.

-Kaveli-
 
Mzuqa Wanajf,

Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.

Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai

Nimeziona mtu wangu. John Stephano.... Why all this bro? 😂😂😂

Why you struggling to prove them wrong? What you wanna achieve by so doing?

By the way, such video clips DO NOT portray any 'proof' kwamba hapo ni Kopenhagen Denmark. Just vinaonekana plain trees na houses, of which are present at any other country.

-Kaveli-
 
Kwahiyo wananchi wanahisi kuwa wewe Jon Stephano ndiye Para? au wanahisi kuwa wewe ndiye ulikuwa unafeed Geneva info to Para?

Nini kinawafanya wahisi hayo? Je wamepata some credible 'link' kati yako na Para?

Au umeponzwa na ile sredi yako ya majuzi ukielezea (with photos) wananchi wa Geneva walivyopanga foleni kupokea chakula cha msaada kutoka serikali ya Uswizi?

Jf ina vitimbi sana walai. 😁😁

-Kaveli-
 
Kuna mmoja huyo tulikutana kwenye ule uzi wa kina Lusungo and co... lile lisredi lao kuu humu jf kuhusu 'channel' na 'koneksheni' za kwenda ng'ambo.

Nakumbuka ule Uzi ulitembea kwa speed ya 4G, na ninaamini 'vichwa' vingi vilinyolewa kimya kimya kwa mundu butu!

Afterwards , nikapokea PM. Akajitambulisha kuwa yeye yupo UK kwa malkia, na some further brah brah za bata la Ulaya. From my experience on cyber life, such dude sounded fake instantly!

Kabla hata sijajibu salaam yake, nilianza na maswali mawili tu, nayanukuu....

"1. Kiongozi, lengo kuu la kuniPM ni nini? as I don't entertain unsolicited pm'ing"

"2. Upo UK ipi mkuu, ya UKonga? ama ya UKerewe?

Tangu kipindi hicho hadi leo hii, Last seen ya huyo mduwanzi ni hiyo tarehe na muda nilomjibu text yake.

-Kaveli-
Hivyo!
nikija Pm nalamba kwanza Maswali...?
 
Kama unaishi Copenhagen basi mkuu naomba utembelee maeneo ya Flensburg hapa ujerumani, uje tule gambe hapa! But only kama Janga la Corona likiangaliwa kwa mlengo mwingine tofauti na wasasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom