Videos: Nelly na wenzake humu wamekazania naishi Uswizi wakati naishi Copenhagen Denmark

Videos: Nelly na wenzake humu wamekazania naishi Uswizi wakati naishi Copenhagen Denmark

Hivyo!
nikija Pm nalamba kwanza Maswali...?

Sijamaanisha kwa kila mtu. It depends mtu amekujaje.

Huyo alikuwa ni mtu mgeni kwangu, na akaja 'kipigaji'. Nami ikanibidi niende naye kijelajela.

He really deserved such treatment.

-Kaveli-
 
Wekeni permit bana,video hata mimi naweza weka.
Piga ua zaragaza l
Sasa hapa si kama uzunguni tu pale matalawe songea?
Nenda ktk monument yoyote inayojulikana kisha piga picha hata ya karatasi uliyooandika mimi former copenhagen wa jf now stefano.. nipo hapa nabeba maboksi, angalau tutaamini kidogo!
WanaJF mnavimbwenga.
 
Hahahaha moderator wame mind wameona jamaa ametunywesha sana chai

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo Para ana chai za next level aisee.

Uzi wake nilochoka kabisa ni ule aloenda kula bata kwenye Braque Night Club, kufika mle akakuta pamejaa mapaja matamu ya totoz kali mpaka akajimwagia bao ndani ya kaptula.

Wakati analeta chai hii, alishajisahau kuwa Geneva tayari ilishatangaza official total lockdown. Ila yeye akatimba club 😂😂😂

-Kaveli-
 
Huyo Para ana chai za next level aisee.

Uzi wake nilochoka kabisa ni ule aloenda kula bata kwenye Braque Night Club, kufika mle akakuta pamejaa mapaja matamu ya totoz kali mpaka akajimwagia bao ndani ya kaptula.

Wakati analeta chai hii, alishajisahau kuwa Geneva tayari ilishatangaza official total lockdown. Ila yeye akatimba club 😂😂😂

-Kaveli-
Hahahaha ... Yule jamaa itakua nati zimelegea kichwani
 
Fanya kunirushia Pound, au hata dorali ili nijue kuwa upo ulaya au ulaya ya vijijini?
 
Kwahiyo wananchi wanahisi kuwa wewe Jon Stephano ndiye Para? au wanahisi kuwa wewe ndiye ulikuwa unafeed Geneva info to Para?

Nini kinawafanya wahisi hayo? Je wamepata some credible 'link' kati yako na Para?

Au umeponzwa na ile sredi yako ya majuzi ukielezea (with photos) wananchi wa Geneva walivyopanga foleni kupokea chakula cha msaada kutoka serikali ya Uswizi?

Jf ina vitimbi sana walai. 😁😁

-Kaveli-
Nashangaa ameni-tag kwanza aliweka thread namna ambavyo serikali inatoa msaada wa chakula then mda huohuo Para akasema ametoka kupokea msaada ndo akakutana na mtoto wa kiitaliano.

Achana na hawa kuna mwenzao Billions yeye alifungua thread kuhusu "connection" huku akidai mwenye kutaka kuungwa atupie namba pm as if sijui chochote nikamwambie anipe link nijiunge mwenyewe (WhatsApp group) akagoma akasema,





"KAMA HUNA SHIDA NA CONNECTION PITA HIVI"
 
Back
Top Bottom