The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kwanini wanasema hivyo? Nimekaa Lausane na Geneva (miji hii iko karibu karibu). Yes, Uswisi ni kuzuri zaiidi, lkn Tofauti ni ndogo sana.Wanadhani mimi ni yule Parabora ID yangu. Hata hivyo Uswizi ni bora zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]para
121.
Ametaka kuuaminisha umma eti kwamba yeye Ni mfalme wa wayahudi.Parabora mwenyewe kalambwa kichwa na moderator, sijui kafanya kosa gani?!
Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai
Hahaha naona mliopo ulaya mnaendelea kututambia tu....
Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai
Hivyo!Kuna mmoja huyo tulikutana kwenye ule uzi wa kina Lusungo and co... lile lisredi lao kuu humu jf kuhusu 'channel' na 'koneksheni' za kwenda ng'ambo.
Nakumbuka ule Uzi ulitembea kwa speed ya 4G, na ninaamini 'vichwa' vingi vilinyolewa kimya kimya kwa mundu butu!
Afterwards , nikapokea PM. Akajitambulisha kuwa yeye yupo UK kwa malkia, na some further brah brah za bata la Ulaya. From my experience on cyber life, such dude sounded fake instantly!
Kabla hata sijajibu salaam yake, nilianza na maswali mawili tu, nayanukuu....
"1. Kiongozi, lengo kuu la kuniPM ni nini? as I don't entertain unsolicited pm'ing"
"2. Upo UK ipi mkuu, ya UKonga? ama ya UKerewe?
Tangu kipindi hicho hadi leo hii, Last seen ya huyo mduwanzi ni hiyo tarehe na muda nilomjibu text yake.
-Kaveli-
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Parabora mwenyewe kalambwa kichwa na moderator, sijui kafanya kosa gani?!
Sasa hapa si kama uzunguni tu pale matalawe songea?Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai