Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai
Hivyo!
nikija Pm nalamba kwanza Maswali...?
Mbona ulishasemaga kitambo tu kuwa upo Denmark? Na mnaoishi Ulaya na Marekani mnakumbana na wabishi wanaotaka kuhakikiwa as if inawasaidia.Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai
Noted mkuu.Mzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai
Hahahaha moderator wame mind wameona jamaa ametunywesha sana chaiParabora mwenyewe kalambwa kichwa na moderator, sijui kafanya kosa gani?!
Wanadhani mimi ni yule Parabora ID yangu. Hata hivyo Uswizi ni bora zaidi
Nasikia kuna mchezo huo hapa jfKwani siku hizi watu wanadanganya wanapoishi?
Nitag kweye huo uzi mkuu nikajionee maajabu.Hahahaha moderator wame mind wameona jamaa ametunywesha sana chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga ua zaragaza lWekeni permit bana,video hata mimi naweza weka.
WanaJF mnavimbwenga.Sasa hapa si kama uzunguni tu pale matalawe songea?
Nenda ktk monument yoyote inayojulikana kisha piga picha hata ya karatasi uliyooandika mimi former copenhagen wa jf now stefano.. nipo hapa nabeba maboksi, angalau tutaamini kidogo!
Hahahaha moderator wame mind wameona jamaa ametunywesha sana chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ... Yule jamaa itakua nati zimelegea kichwaniHuyo Para ana chai za next level aisee.
Uzi wake nilochoka kabisa ni ule aloenda kula bata kwenye Braque Night Club, kufika mle akakuta pamejaa mapaja matamu ya totoz kali mpaka akajimwagia bao ndani ya kaptula.
Wakati analeta chai hii, alishajisahau kuwa Geneva tayari ilishatangaza official total lockdown. Ila yeye akatimba club πππ
-Kaveli-
Hahahaha ... Yule jamaa itakua nati zimelegea kichwani
YaniPara kaacha majanga mengi sana nyuma. πππ
-Kaveli-
Nashangaa ameni-tag kwanza aliweka thread namna ambavyo serikali inatoa msaada wa chakula then mda huohuo Para akasema ametoka kupokea msaada ndo akakutana na mtoto wa kiitaliano.Kwahiyo wananchi wanahisi kuwa wewe Jon Stephano ndiye Para? au wanahisi kuwa wewe ndiye ulikuwa unafeed Geneva info to Para?
Nini kinawafanya wahisi hayo? Je wamepata some credible 'link' kati yako na Para?
Au umeponzwa na ile sredi yako ya majuzi ukielezea (with photos) wananchi wa Geneva walivyopanga foleni kupokea chakula cha msaada kutoka serikali ya Uswizi?
Jf ina vitimbi sana walai. ππ
-Kaveli-
sisi Uswiss tunajifukiza tu hapaππMzuqa Wanajf,
Akina Daudi Mchambuzi Nelly Kaka pembe share wamekazaniaaaa naishi Geneva Uswizi. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Cc Rebeca 83 Kaveli Wangari Maathai