Vidole vya mikononi na miguuni kuvimba na kuwasha shida ni nini

Vidole vya mikononi na miguuni kuvimba na kuwasha shida ni nini

Joined
Mar 24, 2023
Posts
9
Reaction score
3
Habari Wana JF

Binafsi Kuna changamoto ya kiafya nimeipata nashindwa kuelewa shida ni nini .Nimesafiri kutoka dar es salaam mbaka nyanda za juu kusini kwa ajili ya mishe mishe akini katika kukaa maeneo ya huku siku kadhaa nimekuta vidole vyangu vya mikononi na miguuni vina vimba na Kuna wakati ni vina washa Sanaa

Nashindwa kuelewa ni allergy ya baridi ama ni ugonjwa maana sijawahi ishii maeneo yenye baridi Kali

Naomba mnisaidie Wana JF
 
Taja mkoa husika, upewe majibu ya kueleweka
 
Back
Top Bottom