Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
Kichwa kinajiekeza.
Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu nikajua labda ni mabadiliko madogo tu kwenye mwili.
Sasa kilichonifanya kuandika uzi huu nikaona vipele vinakuja mbele ya kichwa cha dudu sijajua chanzo ninini maana nimeoa na sijatoka nje ya ndoa. Imefanya nishindwe kufanya mapenzi na mke wangu kwa wiki tatu sasa.
Hospitali sikwenda ila nilienda pharmacy attendant akasema yawezekana mitumba tunayovaa nikaona sio sababu sahihi, kuna dawa nikapewa napaka sehemu zenye matatizo tu je yaweza kuwa ninini hasa wataalamu?
Magonjwa ya ngono sina kabisa