Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

Sikuliweka kwenye thread ila kama natunga sawa ndio demokrasia hiyo una uhuru huo mimi nilikuwa natafuta ushauri tu
mkuu kama umesema watoto walikuwa na upele, na wewe kama una vipele kwenye mapaja karibu sehemu za dushe na unajikuna sana. huo ugonjwa utakuwabni scabies.. ukiendelea kujikunakuna upele utasambaa sehemu nyingine za mwili..

dawa ni yakupaka inaitwa benzly benzoate imulsion (BBE) au tumia sabuni inaitwa tetmosol.. vilevile jitahidi usafi, usirudie rudie nguo mara mbili, mashuka na mataulo.
 
Nunua BBE au scaboma nadhani.. Pia kuna vidonge unatakiwa umeze. Io ni fungus imetokea pia inaweza kusababisha vipele visambae sehemu nyingine za mwili kama kwenye vidole na mapaja na mikononi pia.. BBE inawasha pia. Ni vizuri kupata dawa... From my experience usafi bila dawa ni kazi bure
 
Sio rahisi kupata msaada hapa kwa sababu maelezo yako hayatoshelezi. Nimeona umegusia issue ya wanao kuwashwa na kama wenzangu hapo juu walivyosema, huo ni ugonjwa wa scabies, japo nasita kusema ni scabies kwa sababu scabies haina vidonda kama vidonda, bali mtu hupata upele wenye uvimbe unaowasha.

Kama ni scabies, basi hizo ni parasites, na kawaida mtu huwa anawashwa sehemu walipoingilia. Kama dudu lako linawasha, nasikitika kwamba uliipata kwa njia ya ngono, na inawezekana wewe ndiye uliyeambukiza watoto kwa kuwagusa. Kama ni mara ya kwanza kuugua Scabies, maana yake hawa parasites wanaweza wakakaa kwenye mwili wako hadi mwezi kabla ya kuanza kuwashwa. Mara nyingi muwasho wa scabies huwa ni maradufu mida ya usiku.

Kama hujaipata kwa njia ya ngono basi mazingira ya hapo home kwako sio mazuri, maana yake ni pachafu.

Parasites wanaosababisha scabies ni wagumu kufa kwa sababu wana mayai mengi na mayai yao yana tabia ya kutulia mpaka wahisi kuna chakula ndiyo wajitokeze.

Kama una scabies kweli na familia pia wanawashwa, tafuta dawa ya kumeza inaitwa Ivermectin nadhani kidonge ni 8,000 na wanauza kutokana na uzito. Unaweza ukaambiwa utumie vidonge 6 au 7. Sasa hapo inabidi ununue kwa familia nzima lakini usiwape watoto chini ya miaka mitano. Lakini pia kuna dawa ya kupaka inayoitwa scaborma au Eurax Kwa maana hiyo unatumia vidonge na cream ya kupaka.

Kama hali sio nzuri kifedha, basi nunua mafuta ya nazi pamoja na mafuta ya mwarobaini. Changanya kwa ratio ya 0.5 kwa 1. Paka asubuhi na usiku baada ya kuoga wewe na familia nzima mpaka muwasho uishe kabisa na ikibidi endelea kupaka. Itabidi uvumilie harufu.

Unapokuwa unatumia dawa za scabies au mafuta ya mwarobaini, hakikisha mnafua mashuka na nguo zote na kuzianika juani. Usivae nguo uliyofua haraka. Fungia kwenye mfuko wa nailoni nguo au mashuka uliyoyafua na kukauka kwa siku saba ili wale parasites wafe kwa kukosa hewa. Hakikisha nguo zinachomwa na jua kisawasawa.
 
Unavaa kinga mara kwa mara ?
Mtumba bado mnavaa nakuna korona?
Boxer 3 elfu kumi na mbili mpya sasa mitumba ya nini?
Hiyo pia inachangia ila sana ni condoms
 
Ndio maana silali bila cd condoms sasa mpenzi wako aje yupo katika hiyo hali na hamtumii kinga siunawaza kifoo cha kujitakia?
Ila kiukweli situmiagi condoms za njee DUME tu ya kitanzania .
Haina muwasho wala nini ni nzuri hizi za njee ndio zinahayo magonjwa au ulienda kwa mchepuko mwenye ugonjwa
 
Kacheck gono au gental herpes mara nyingi inakuwa na dalili iyo

Muwasho utokea sana usiku
 
Kaka management zako nimezielewa uko vzr
 
Niliwai pia kupata tatizo kama hilo la kuwashwa kuanzia mapajani kushuka chini na pia uume kupata viupele. Nilienda hospital nikapewa dawa za allergy lakini azikunisaidia chochote

Nikaingia mtandaoni kutafuta dawa. Hatimaye nikakutana na hiyo dawa ya SCABOMA na niliitumia na nilipona kabisa. Ila hiyo dawa unavyoanza kujipaka inawasha hatari.
 
wazee wa boarding school watakumbuka wataalamu wetu wa bwenin walikuwa wanauita pumb_u diseases [emoji23]

Pole Mkuu.
 
Mkeo kaleta ugonjwa nyumbani. Mbebe mkapimwe hospital haraka sana. Pole kwa kupigiwa Mkuu.
 
Gono ange panic zaidi maana gono lazima angedondosha usaha. Angeona kam vile mb.oo ina momonyoka [emoji23][emoji23] gono noma sana
Kuna madogo matatu ndan ya wiki moja ilopita, kwa nyakati tofauti

Yamekuja na gono[emoji23][emoji23]

Yanavyolalama sasa..broooo..broooooo broooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi imewahi kukupata? Tupe in briefly

Ngoja nkupe summary ya dalili hadi ugonjwa ipo hivi

Siku ya kwanza utahisi kama UTI yaani ukienda kojoa utahisi maumivu kama kitu kinachochoma hivi

Siku ya pili utaanza kuona viusaha au uchagu uchagu hapa mkuu unaweza juta kwanini binadamu anapata mkojo [emoji23]

Siku ya pili usiku wake utaanza kuumwa serious sasa

Siku ya tatu usaha of unaanza kutoka kwa matone yaani ukichungulia tu unaukuta nao unatoka, hapa kutembea inakuwa style ya aliyetoka tahiriwa huwezi tembea comfortable kabsa

Siku ya nne na kuendelea ni hivyo hivyo maumivu na usaha vinazidi advance

Iyo ni brief Mkuu, gono ukiipata hauchukui siku tatu lazima uone mapicha picha yake.
 
weka screen shot
 
Kuna madogo matatu ndan ya wiki moja ilopita, kwa nyakati tofauti

Yamekuja na gono[emoji23][emoji23]

Yanavyolalama sasa..broooo..broooooo broooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahah, iyo kitu panic yake jamaa asingeweza type simple simple hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…