Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

wahi hospital baada ya wiki huo uume utafikia kg1 na utatembea na kanzu
 
Sisi ma dr tunapata taabu kutibu watu kama mleta mada hivi unataka kupona au?

Umeshindwa nini kuweka hata picha ya kichwa cha dushe?
Yaan unaumwa afu una aibu? Nani kakudanganya jf ukiweka hicho kichwa kilicho na vipele utapigwa block?

Weka kichwa hicho hapa tukione kimepata shida kiasi gani ndo tutoe dawa. Mambo ya kukisia hapana.
 
Ungetupia kapicha kidogo ili wataalam waone muonekano wa hivyo vipele, ila ungeenda hospitali kufanyiwa vipimo ili ijulikane kama ni ukurutu tu wa kawaida ama ni magonjwa ya bacteria ambayo inaweza kuwa kaswende ama ya virus ambayo inaweza kuwa herpes simplex-2.
 
Hizo ni SCABIES mkuu mara nyingi inawapata watu wanaokaa kwenye mazingira kama magerezani, shule za boarding na maeneo mengine yenye mkusanyiko wa namna hiyo.

Njia kubwa ya maambukizi ni jasho so kushare na mtu nguo, shuka, kitanda na vitu vya namna hiyo kunaweza pelekea kupata maradhi hayo.

Kuna haina nyingi ya dawa ambazo zinaweza tibu maradhi haya nazo ni SCABOMA,PERMETHRIN CREAM, STROMECTOL,CROTAMITON.
Ukianza kutumia dozi hakikisha unafua nguo zako zote kwa maji ya moto hili kuua vijidudu vyote kwenye nguo hizo.

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA HOSPITAL ILIYO KARIBU NAWE.
 
We ndugu ni Wa faida mana umefanya kiroho safi tu kwa sababu inaonyesha umetumia taaluma yako kumsaidi/ kusaidia for free! Wengine wangeanza kumwita jamaa inbox![emoji122]
 
Weka picture kwa msaada zaidi tukusaidie. Kuna vipele vingine vinatibika kwa tube tajajuaje Kama Ndo hivyo Au siyo tukuelekeza dawa
 
Hiyo ni kaswende kama wewe hujawai toka nje ya ndoa yako badi mkeo katoka na kakuletea hiyo kitu ni hatari wahi hospital na lazima mkeo pia apate dozi sawa na uatakayopata wewe.
Msiingize ndoa za watu kwenye mifarakano kwa mawazo ya kuhisi.
 
ndugu inawezeka una kaswende kama wewe hujauleta huo ugonjwa basi ni mkeo kauleta nendeni wote hospitali kupimwa,wewe na mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…