Wadau msaada katika hili, binti ana miaka mitatu toka amezaliwa, tatizo la vidonda kichwan kila nywele zinapoota kichwan. Nimehangaika na dawa na ushauri tofauti tofauti lakini mafanikio yamekuwa haba kwani tatizo huondoka nywele zinapoondolewa mara zinapoota vidonda hujirudia, naomben ushauri ndugu zangu.