resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Nafuu ntaipataje!?? Mi mwanafunzi, nmetumia dawa nyingi na ninafuata lishe na masharti yote ila bado tumbo linasumbua saa 24!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafuu ntaipataje!?? Mi mwanafunzi, nmetumia dawa nyingi na ninafuata lishe na masharti yote ila bado tumbo linasumbua saa 24!
Mkuu nione Mimi nikupe Dawa ya kuweza kukutibia Vidonda vyako vya Tumbo kw amuda wa siku 21 utakuwa umekwisha kupona.Na utaweza kula chakul chochote kile ukitakacho. Ukitaka Tiba tok kwanguNafuu ntaipataje!?? Mi mwanafunzi, nmetumia dawa nyingi na ninafuata lishe na masharti yote ila bado tumbo linasumbua saa 24!
Dawa zako bei ipo juu sana mkuuMkuu nione Mimi nikupe Dawa ya kuweza kukutibia Vidonda vyako vya Tumbo kw amuda wa siku 21 utakuwa umekwisha kupona.Na utaweza kula chakul chochote kile ukitakacho. Ukitaka Tiba tok kwangu
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Umejaribu maombi,jaribu hutajutia.Nafuu ntaipataje!?? Mi mwanafunzi, nmetumia dawa nyingi na ninafuata lishe na masharti yote ila bado tumbo linasumbua saa 24!
Dawa zangu zipo bei juu kwa sababu nina uhakika ukitumia dawa zangu kwa muda nitakao kwambia utapona Tofauti na dawa za Hospitali utaweza kutumia hata mwaka mmoja huwezi kupona Mkuu.@kiogwe. Dawa zangu zina uhakika wa kutibu maradhi ya Vidonda vya tumbo kwa siku 21 ukitumia dawa zangu utapona Vidonda vyako vya tumbo.Dawa zako bei ipo juu sana mkuu
Dawa zangu zipo bei juu kwa sababu nina uhakika ukitumia dawa zangu kwa muda nitakao kwambia utapona Tofauti na dawa za Hospitali utaweza kutumia hata mwaka mmoja huwezi kupona Mkuu.@kiogwe. Dawa zangu zina uhakika wa kutibu maradhi ya Vidonda vya tumbo kwa siku 21 ukitumia dawa zangu utapona Vidonda vyako vya tumbo.
Dawa ya nguvu za kiume zipo Mkuu ukihitajiDawa za nguvu za kiume vp
Mzizi mkavu heshima kwako...nataka unipe ushuhuda wa watu kupona na je inawezekan ukalipa pesa nusu na nusu ya pesa ikamaliziwa pindi pale cku 21 zitakapokwisha na pia si vibaya ukiniambia bei ya hiyo dawa yako na je zinafanana na zile za hawa matapeli wetu wa akina dr mwaka na akila rahabu rubago unakunywa mandooo ya dawa na bado huponi.?Mkuu nione Mimi nikupe Dawa ya kuweza kukutibia Vidonda vyako vya Tumbo kw amuda wa siku 21 utakuwa umekwisha kupona.Na utaweza kula chakul chochote kile ukitakacho. Ukitaka Tiba tok kwangu
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mimi siwezi kukupa ushuhuda kwa sababu mimi ndie ninaye watibu wagonjwa wa hayo maradhi ya Vidonda vya Tumbo . na Gharama siwezi kukwambia hapa mpaka utakapo nitafuta ndipo nitakapo kwambia na mimi huwezi kunifananisha na Dr Mwaka au Dr Rahabu ni tofauti kabisa. Niliwatibia wamepona lakini unavyojuwa mbongo ukimtibia haji kukwambia kuwa amepona akiwa hajapona ndipo ataweza kukusumbuwa na kukwambia dawa uliyompa haija mponyesha lakini akipona haji kukupa mrejesho kwani umemtoza pesa na amepona anaona hakuna haja yeye kukupa mrejesho wake. Ninawatibu wagonjwa wa maradhi ya Ukimwi, Maradhi ya Hepatiti B Virus na maradhi ya Saratani wanapona itakuwa hayo maradhi ya Vidonda vyako vya tumbo? Ukiweza kuniamini nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia usipoweza kuniamini tafuta njia ingine ya kuweza kujitibia waganga wa tiba ya Asili tupo wengi .Mzizi mkavu heshima kwako...nataka unipe ushuhuda wa watu kupona na je inawezekan ukalipa pesa nusu na nusu ya pesa ikamaliziwa pindi pale cku 21 zitakapokwisha na pia si vibaya ukiniambia bei ya hiyo dawa yako na je zinafanana na zile za hawa matapeli wetu wa akina dr mwaka na akila rahabu rubago unakunywa mandooo ya dawa na bado huponi.?