Vidonge vya ciplactin vinaongeza hamu ya kula?

Vidonge vya ciplactin vinaongeza hamu ya kula?

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Waungwana kwema? Ni kweli vidonge hivi Ni kwaajil ya kuleta hamu ya kula?

Mimekuta kwenye mkoba wa mke wangu,ananiambia Ni vya kuongezeka hamu ya kula, na siku hizi amenenepa amekuwa na shepu tofauti na mwanzo, wataalam hii Ni kweli? Au ndio mchina at work?
 
Attachments

  • ciplactin-tablet-500x500.jpg
    ciplactin-tablet-500x500.jpg
    11.9 KB · Views: 35
Ukiwa na urafiki na google itapendeza
 
Waungwana kwema? Ni kweli vidonge hivi Ni kwaajil ya kuleta hamu ya kula?

Mimekuta kwenye mkoba wa mke wangu,ananiambia Ni vya kuongezeka hamu ya kula, na siku hizi amenenepa amekuwa na shepu tofauti na mwanzo, wataalam hii Ni kweli? Au ndio mchina at work?
yaaani we wa ajabu unauwezo wa kuuliza huku na huku google kuna kila kitu na matumizi yake na haja kudanganya huwa inatumika kama appetite stimulant na mambo ya allergy hukoi
 
Back
Top Bottom