Vidonge vya Majira

Vidonge vya Majira

Nikatafute unga bado sijala...nikirudi ntakupa hints kidogo.. Ila taja Jina la aina ya dawa unazotumia ...
fc1b41b015f0f1d4f8a3b5aa8e38be7d.jpg
 
mbona mada siioni

atopiki anayoiongelea mamaafacebook II hii hapa chini kama ilivyoletwa jukwaani na zubedayo_mchuzi

...Leo Naomba Tuwe wawazi kwa hili. Wale waliowahi kutumia njia mbalimbali za uzazi wa Mpango kama vile:
1. Vidonge vya Majira
2. Njia vijiti.
3. Sindano,

Na wameshapata madhara mpaka ikawapelekea kulazwa,kuumwa sana na matatizo lukuki.Waweke ushahidi wao humu,kutufahamisha madhara hayo.

Nilikuwa nasikiliza Radio frequency 102.00, wadada wameshuhudia matatizo waliyoyapata,ambayo imewapelekea kutaka kuanzisha shirika litwalo HATUTA NYAMAZA,Litakuwa na Wahanga wa njia hizo na watapaza sauti zao kupinga matumizi ya njia hizo.Wao binafsi wamepata madhara makubwa.

Inasemekana hata kansa ya titi, kansa ya mlango wa kizazi, husababishwa na Matumizi ya vidonge kwa Muda mrefu...

Taifa linaitaji kujikomboa
1. kifikra
2. kiuchumi
3. kiafya.

Taasisi za serikali na zisizo za serikali wanatumia hela nyingi kuhamasisha matumizi ya njia hizo kwa kutaja faida bila Madhara.

Kinadharia, athari ya vidonge vya majira zinaweza kuangukia katika makundi mawili:

1) Kabla ya kujipandikiza, itakuwa na athari za kupunguza uwezo wa kusafirisha mimba katika mirija ya uzazi (fallopian tube) na hivyo huzuia mimba kujipandikiza katika mji wa mimba na hali hii inaweza kusababisha kutotambulika kwa mimba hiyo ikiharibika au mimba hiyo kujipandikiza nje ya mirija hiyo.

2) Kuharibika kwa ngozi nyororo ya tumbo la uzazi kwa namna kwamba mimba hiyo baada ya kufikia mji wa mimba, inashindwa kujipandikiza katika ngozi nyororo.

3) Kutoa mimba kunakosababishwa na mimba hiyo kushindwa kukaa katika mji wa mimba; mimba inajipandikiza lakini baadaye ina kufa kutokana na mji huo kushindwa kuhifadhi mimba hiyo.

1. Mabadiliko ya ngozi nyororo Vidonge (Oral Contraceptives), huathiri moja kwa moja ngozi nyororo kwa kuifanya ngozi hiyo isiweze kupokea na kutunza mimba iliyotungwa. Hali hiyo hutokea kwa sababu vidonge hivyo huharibu ngozi nyororo ambayo hufanya kazi kama kitanda cha mtoto.

Ngozi hiyo inakuwa nyembamba iliyotanuliwa, iliyochoshwa na nyamanyama zake kubaduliwa kwa kuharibu chembechembe za ngozi nyororo na kwa kuharibu chakula cha mtoto kitengenezwacho katika ngozi hiyo.

2. Mabadiliko ya Chachu ziitwazo &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Integrin' Chachu za &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];intergrin' ni muunganiko wa molekule ambazo hutengeneza mazingira ya upokeaji wa mimba katika ngozi nyororo ya tumbo la uzazi. Chachu hizi zikiharibiwa, mazingira ya upokeaji wa mimba huharibiwa pia yaani, kuifanya mimba isiweze kusafiri kutoka kwenye mirija ya uzazi kwenda kwenye mji wa mimba.

3. Kuongezeka kwa mimba nje ya mji wa mimba Utafiti umeonesha kuwa wanawake wanaotumia vidonge (OC's) wamo katika hatari kubwa ya kupata mimba nje ya tumbo la uzazi ukilinganisha na wanawake wasiotumia.

Utafiti uliofanywa katika nchi 17 zenye jumla ya vituo 33 na uliowahusu watu 2800 umethibitisha kuwa matumizi ya vidonge, yanaongeza uwezekano wa kupata mimba nje ya tumbo la uzazi. Mimba hizi za nje ya tumbo la uzazi (ectopic pregnancy) huhatarisha sana uhai wa mama. Watumiao vidonge vya progestin (POP's) Vilevile wamo katika hatari kubwa ya kupata mimba nje ya tumbo la uzazi.
 
Habari waungwana.
nmeanza kutumia vidonge vya majira ili kurekebisha mfumo wa siku zangu...

Je, zina ubaya wowote?
Screen Shot 2017-02-16 at 8.33.34 PM.png
Screen Shot 2017-02-16 at 8.33.03 PM.png

nitegemee madhara gani au athari gani kutokana na hizi dawa.
(nna mpango wa kuzitumia miezi mi2 tu)
Pulmonary embolism is a big risk for oral contraceptive,make sure to have a regular check up with your gynacologist
 

Attachments

  • Screen Shot 2017-02-16 at 8.36.21 PM.png
    Screen Shot 2017-02-16 at 8.36.21 PM.png
    105.1 KB · Views: 278
Nahisi labda net yako haiko strong fanya hivi nenda google search heading ya topic yako zitakuja links nyingi sana zikiwemo za humuhumu jf zilizowahi kujadiliwa utapata ufumbuzi wa tatizo lako
sawa nitafanya hivo sasa hivi
 
Habari waungwana.
nmeanza kutumia vidonge vya majira ili kurekebisha mfumo wa siku zangu...

Je, zina ubaya wowote?
nitegemee madhara gani au athari gani kutokana na hizi dawa.
(nna mpango wa kuzitumia miezi mi2 tu)
Je una watoto?? Taratibu usijepata ugumba kwa matumizi ya hizo dawa ukafa bila mtoto.
 
kwanza nikuulize kitu dear?
ushawai kwenda kwa dokta?
una umri gani?
period yako inaenda siku ngapi siku hizi?
mmeenda mara kadhaa napimwa utra wanaswma sina chochote ni mabadiliko aya mwili.
kwingine wakasema affection za u
t.i
nikapewa dawa sikupona ,
nmeenda mpaka nikapewa dawa ya u.t.i sugu ikapona uti wakasema hedhi inaharibiwa na uti na madawa nnayokunywa yanasababisha homoni zisiwe sawa..
nikaenda kwingine wakanipa dawa nikapona..uti kabisa na vigezo na masharti nazingatia...
miezi mi4 sasa siku zinaenda sawa sawa
lakini tatizo

hedhi inatoka kidogo sana, japo siku3 ila kidogo
hapo ndo tatizo na maumivu ya tumbo + nyonga usiseme kabisa
 
mmeenda mara kadhaa napimwa utra wanaswma sina chochote ni mabadiliko aya mwili.
kwingine wakasema affection za u
t.i
nikapewa dawa sikupona ,
nmeenda mpaka nikapewa dawa ya u.t.i sugu ikapona uti wakasema hedhi inaharibiwa na uti na madawa nnayokunywa yanasababisha homoni zisiwe sawa..
nikaenda kwingine wakanipa dawa nikapona..uti kabisa na vigezo na masharti nazingatia...
miezi mi4 sasa siku zinaenda sawa sawa
lakini tatizo

hedhi inatoka kidogo sana, japo siku3 ila kidogo
hapo ndo tatizo na maumivu ya tumbo + nyonga usiseme kabisa
umri wako kwanza?
 
Back
Top Bottom