Vidonge vya majira

unlucky

Senior Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
199
Reaction score
56
Habari zenu ndugu zangu naomba ushauri wenu kuhusu vidonge vya majira;
Mimi natumia majira leo mwaka kwa sababu sitaki kuzaa na huyu bwana na pia mnajua yote kuhusu mimi sasa naona naharibika uso kwa pimples sana je ni.kwa ajili ya hivi dawa mwanzo sikuwa nazo kabisa na je nikitaka kuviacha nitapata mimba hapohapo au nitachelewa kwa sababu sitaki kuzaa na matatizo ya pimples ndo yamezidi je nyie mnasemaje.
 
Kuna uwezekano mkubwa pimples hizo kuwa zimesababishwa na vidonge vya majira,tena afadhari wewe wengine wanaota nywele uso mzima,wengine maziwa kuwa makubwa kupindukia,wengine wanakuwa wembamba kupita kiasi,wengine wanakosa kabisa hamu ya kumega sakaramenti ya ndoa nk.Hivyo ukiacha kutumia hizo pimlpes zitaisha kadri siku zinavyosonga mbele.

....Hakuna jibu la moja kwa moja kuwa ukiacha kutumia kuwa itakaa muda gani unaweza kupata mimba,maana hormone hotofautiana kati ya mtu na mtu na hutemea na effects ya hizo dawa kwenye huo mwili,wengine inaweza kuchukua miezi 2 na kuendelea au miaka,au kutopata mimba maisha yote.

......kwa sababu zipo njia nzuri za asili zisizo na madhara kwenye mwili wako unaweza tumia hizo kama kalenda nk.
 

kwa kifupi vidonge vya majira vina madhara mengi hasa vilivyotengenezwa kwa ajili ya soko la afrika.......kama ukivitumia ukija kupjaaliwa kupata mtoto shukuru mungu,ujauzito utapata lakini mara zote huharibika,na hayo ni kwa uchache cancer pia haichezi mbali
 

Ni kweli mkuu nzalendo kuna dada tulifanya naye kazi mahali fulani alikuwa anatumia baadaye akacha ili apate mimba ilimchukua miaka 12 na mimba alipopata bleeding mara kwa mara mimba yake karibia itoke,alilala kitandani kwa muda mrefu sana, aliapa hatarudia mchezo huo,njia hizi ni hatari sana.
 
Asanteni itabidi niziache lakini j baada ya kuacha tu nikishika mimba je manake mtt sitaki tena kwa sbb ya huyu bwana je nitakuwa naua tu naomba basi mnifahamishe kalenda lakini kwa mm kalenda pia vigumu je njia nyingine
 
Asanteni itabidi niziache lakini j baada ya kuacha tu nikishika mimba je manake mtt sitaki tena kwa sbb ya huyu bwana je nitakuwa naua tu naomba basi mnifahamishe kalenda lakini kwa mm kalenda pia vigumu je njia nyingine
njia ya mkato kama hutaki mimba acha kufanya matusi.
 
Asanteni itabidi niziache lakini j baada ya kuacha tu nikishika mimba je manake mtt sitaki tena kwa sbb ya huyu bwana je nitakuwa naua tu naomba basi mnifahamishe kalenda lakini kwa mm kalenda pia vigumu je njia nyingine

Mtoto hutaki kwa sababu ya huyu jamaa! tatizo nini tena.
 
Mimi mzunguko wangu siku 28 nikiws na kula hv vidonge lakini kabla ya kula vidonge ni siku kama mwezi na siku tano hv na napata siku tano mpk sita
 
Mimi mzunguko wangu siku 28 nikiws na kula hv vidonge lakini kabla ya kula vidonge ni siku kama mwezi na siku tano hv na napata siku tano mpk sita

formula rahisi kujua siku zako za hatari zinaanza lini unachukua mzunguko mfupi ambao umesema ni 28,28-18=10.
kwa maana hiyo kuanzia siku ya 10 usiguse kale kamchezo.
....kujua mwisho wa siku za hatari unatoa 11 kwenye mzunguko mrefu,umesema mwezi mmoja na siku tano,naamini mwezi unamaanisha siku 28+5=33-11=22. kwa maana hiyo siku ya mwisho ya hatari ni ya 22.
...Hivyo ruksa kumpa tunda mmeo kuanzia siku ya 23 mpaka siku utakapopata siku zako, ni siku 15 za kula meza ya Bwana.
 

unluck una watoto dadangu hata na mwanaume mwingine? Samahani nauliza hivi kwa sababu sijajua yote kuhusu wewe. Naona thread itakuwa ilinipita. Sasa kama hujaolewa au huna bwana wa kuzaa naye kwa sasa acha kabisa kutumia vidonge au sindano za kuzuia au vipandikizi. Vyote hivi vina side effects sana na mwishowe unaweza ukakosa kabisa uzazi. Si salama. Kama si mumeo ni kwa nini usikutane naye siku safe? Na kaa siku si safe ni kwa nini msitumie kinga? Na maisha ya leo ni bora kutumia condom kwa wapenzi wasio wenza kwa kuwa kati yenu michepuko ni rahisi zaidi japo wa ndoa nao wanaongoza, tena kwa VVU!!! Ni ushauri tu!!!
 
Kama usharidhika na hao wa 3 kwanini usifunge kizazi kabisa? Anyway mimi naona bora u stop kutumia hizo vidonge then ukatumia kalenda. Zile siku za hatari najua wanaume tukishazoeshwa dry afu ukatamka neno ndom tunakua hatuelewi kabisa. so uki meet nae siku za hatari then meza flaggile hakikisha isizidi ndani ya masaa 24 ita work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…