unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Habari zenu ndugu zangu naomba ushauri wenu kuhusu vidonge vya majira;
Mimi natumia majira leo mwaka kwa sababu sitaki kuzaa na huyu bwana na pia mnajua yote kuhusu mimi sasa naona naharibika uso kwa pimples sana je ni.kwa ajili ya hivi dawa mwanzo sikuwa nazo kabisa na je nikitaka kuviacha nitapata mimba hapohapo au nitachelewa kwa sababu sitaki kuzaa na matatizo ya pimples ndo yamezidi je nyie mnasemaje.