Vidonge vya mateja vimenifikirisha sana,

Zamani tutawatetea kwamba elimu kuhusu madawa haikua kubwa kama sasa hivi.

Sasa hivi elimu ipo hadi kwa kuona watu wanavyoathirika nashangaa kuona mtu anaenda kuvuta.
Elimu wala sio tatizo. UKIMWI na maradhi mengine yasiyo ya kuambukiza yanavyozidi kupukutisha watu kwani hakuna elimu?
 
sio valium hizo ? maana ndio mateja wanatumia sana
 
Zamani tutawatetea kwamba elimu kuhusu madawa haikua kubwa kama sasa hivi.

Sasa hivi elimu ipo hadi kwa kuona watu wanavyoathirika nashangaa kuona mtu anaenda kuvuta.
Hatari sana hayo madude, tena siku hizi eti Hadi videmu vina TUMIA, hao najua wanafundishwa na masela wao wanao walomba, Moja kati ya effect ya dawa niliyo wahi kuniumiza moyo, ni jambo la kaka na dada kulombana wote wakiwa bwax kisa dawa mpaka wakafumwa yani kupigana shine mtu na dada ake na ni watu wazima tu
 
valium
 
Ndio sawa shida ni vidonge vya pharmacy nina uhakika sasa nahofia afya zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…