Vidonge vya mateja vimenifikirisha sana,

Mi nilidhani ANAUMWA lakini maswali nilio jiuliza, mbona vinafichwa? Kwanini huyo jamaa anawauzia mateja, hawapajui pharmacy? Na je pharmacy wanafahamu hivo vidonge vinatumiwa na mateja kama kichangamshi?
Kimsingi Dawa nyingi za pharmacy zikitumika ndivyo sivyo matokeo yake ni yale yaleeee,,,,,,,ni vileee.....kwa mfano Valium ukiisaga ukachanganya kwenye fegi ,,,,,,,,,, ila ....usijaribu yakheee.,,,Halafu kuna dawa inaitwa Trazodone........utajua mwenyewe................
 
Dah noma sana
 
Kuna dawa ya maumivu jamii ya opioid inaitwa tramadol inatumika vibaya kama dawa za kulevya.
 
Itakua mandrax au dawa tiba nyingine ambazo zinalevya na hutumiwa mahospital haswa kwa wagonjwa wenye shida ya afya ya akili
 
Elimu kubwa inatolewa bado sielewi inakuaje mpaka mtu anatumia madawa.
Hakuna mtu anachagua kuingia kwenye uraibu rafiki yangu.

Miili yetu ni dhaifu mno.

Mateja, walevi, wavutaji, malaya nk. huchochewa kujaribu tu mambo hayo ila wakishaingia wanatekwa na uraibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…