Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
nini kimebakia?
Kilichobakia ni kutotumia supplements kabisa.
kweli mkuu kila kitu ni sumu....chaguo ni lako.kila kitu kwa sasa kipo contaminatedSitoacha ng'o kutumia supplements, ila sio vyema kutumia supplements bila kujua mwili wako una mapungufu gani, na hii ni lazima kufanya vipimo, na pia kuna kampuni bora za utengenezaji supplements Kama, amway, life extension,total balance,ultra preventive x, essential e.t.c, kwani hata vyakula tunavyokula vinaweza kuwa sumu kwasababu mbali mbali Kama vile wapi kililimwa ktk mazingira gani, mbolea gani zilitumika, environmental factors.
supplement tutaacha vipi hayo mafuta na vyakula wanayoongeza virutubisho ni vya nini?kila kitu nachosoma siku hizi tunaambiwa ni sumu.
Taking health supplements with omega-3 fatty acids can increase the chances of contracting prostate cancer, according to new research.
Omega-3 Supplements Linked To Prostate Cancer
kIUJUMLA ALL KINDS OF SUPPLEMENTS ARE BAD TO OUR HEALTH.
suluhisho ni kutotumia hizi supplements kabisa.
kila kitu sumuuuuuu nachoka na life hili duh!
kweli mkuu kila kitu ni sumu....chaguo ni lako.kila kitu kwa sasa kipo contaminated
Chagua mafuta na vyakula ambavyo havina supplements.
Badala ya kununuliwa hivyo vyakula nunua mwenyewe.
Badala ya kupikiwa pika mwenyewe ili usile vitu vyenye supplements.
Ukienda kazini funga chakula chako home na nenda nacho kazini.
Hapa najua kuna baadhi ya watu wataponda kufungisha chakula na kwenda nacho kazini.
Ila huku bush kwetu tunafungisha sana chakula tunapoenda shamba.
Lakini kama wewe huko town ni mtu wa kula kitimoto au kuku wa kukaanga bila kudadisi mafuta yanayotumika au jinsi hao kuku walivyokuzwa then, uko kwenye hatari ya kula supplements kwa sana.
At the end of the day in wewe utakayeamua ule nini. Kigezo cha kuwa unaishi mjini ni excuse tuu maana mahindi na alizeti zetu tunazolima huku bush zinapelekwa sana huko town.
Ndiyo maana mie nimeamua kujikita kula wadudu maana hawa bado hawajaongezewa supplements: Janga la njaa: UN yashauri watu wale wadudu
Halafu kuna siri kubwa ya kula wadudu ambayo watu wengi bado hawajaijua. Smile atakudokezea.