Chagua mafuta na vyakula ambavyo havina supplements.
Badala ya kununuliwa hivyo vyakula nunua mwenyewe.
Badala ya kupikiwa pika mwenyewe ili usile vitu vyenye supplements.
Ukienda kazini funga chakula chako home na nenda nacho kazini.
Hapa najua kuna baadhi ya watu wataponda kufungisha chakula na kwenda nacho kazini.
Ila huku bush kwetu tunafungisha sana chakula tunapoenda shamba.
Lakini kama wewe huko town ni mtu wa kula kitimoto au kuku wa kukaanga bila kudadisi mafuta yanayotumika au jinsi hao kuku walivyokuzwa then, uko kwenye hatari ya kula supplements kwa sana.
At the end of the day in wewe utakayeamua ule nini. Kigezo cha kuwa unaishi mjini ni excuse tuu maana mahindi na alizeti zetu tunazolima huku bush zinapelekwa sana huko town.
Ndiyo maana mie nimeamua kujikita kula wadudu maana hawa bado hawajaongezewa supplements:
Janga la njaa: UN yashauri watu wale wadudu
Halafu kuna siri kubwa ya kula wadudu ambayo watu wengi bado hawajaijua.
Smile atakudokezea.