BILLY BLANCE
Member
- Jul 6, 2013
- 19
- 2
Habari ndugu zangu wana jf naitaji uhakika wa dawa za primolut N nikwel zina uwezo wa kuzuia mimba kwa mpenz wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halikuwa lengo langu ni kwa bahati mbayaUnazuia mimba ya nini sasa mtu ulipanda mbegu ili imee.
Halikuwa lengo langu ni kwa bahati mbaya
Habari ndugu zangu wana jf naitaji uhakika wa dawa za primolut N nikwel zina uwezo wa kuzuia mimba kwa mpenz wangu
Unamaana kuzitumia kama oral contaceptive? kama ni hivyo hiyo bado haijathibitishwa kisayansi na haishauriwi. Soma attachment. View attachment 217852
Una maana haifanyi
Kazi
Au mimi tu sijamwelewa mtoa mada, nadhani anamaanisha kuzuia kabla haijaingia mimba naona kama anashauriwa kuitoa,