Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Last edited by a moderator:

Ha ha ha Mr Rocky.. Mwenzio nikichelewa kurudi Paloma ananikagua kwanza kifanyio changu.. Akigundua kimetoka kutumika kazi ninaipata.. Anahakikisha kifanyio changu anakiloweka kwa kifanywa chake usiku mzima.. Aiseee adhabu ni mbaya hii afadhali hata upigwe na jembe kichwani..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Ha ha ha haaaah!! Hiyo adhabu yako mbona nzuri tu....
 
Hapana kumtisha mwenzio Mr Rocky kwani wakati wewe unaenda na kuishia huko huko ulikutana na hii kwangu kweli? Si unakumbuka nilikuwa nakuombea kama hivi, japo pia umenipa talaka ila naendelea kukuombea kama hivi


 
Last edited by a moderator:
Wewe Katavi wewe.. Unamjua Nivea..? Mtoto kama mmakonde ukitoka pale kifanyio kinalala.. Sasa nifike home halafu waifu Paloma astukie kwamba kifanyio chake kimechoshwa.. Na mbaya kabisa na Nivea.. Lol
Ha ha a aaahhh!! sosoliso ipo siku huyo waifu wako atakuchenjia na kutoa adhabu kali zaidi ya hiyo..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso hivi unazijua ngumi za binamu Paloma wewe yaani unajianika huku kuwa huwa unalala na Nivea huko nje huko halafu ndobunarudi kwake
Katavi niliikuta hiyo hali siku moja kwa Mamndenyi niliporudi saa kumi alfajiri
 
Last edited by a moderator:
Hapana kumtisha mwenzio Mr Rocky kwani wakati wewe unaenda na kuishia huko huko ulikutana na hii kwangu kweli? Si unakumbuka nilikuwa nakuombea kama hivi, japo pia umenipa talaka ila naendelea kukuombea kama hivi

Nami naomba kama hivyo usiku na mchana nisije kukumbwa na mke kama huyo kwenye picha.....
 
Katavi na kwa tabia yako ya kupiga watu vibuti naamini utakuja kuishia na janga kama hilo hapo juu.
Nami naomba kama hivyo usiku na mchana nisije kukumbwa na mke kama huyo kwenye picha.....
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi endelea kuniombea aise hili pepo la penda penda liishe niwe mtu mwema kabisa
 
Last edited by a moderator:

Nimeupenda Mloweko huo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…