Vidume Vya Humu Ndani Vingepona kweli...!!

Wewe Katavi wewe.. Unamjua Nivea..? Mtoto kama mmakonde ukitoka pale kifanyio kinalala.. Sasa nifike home halafu waifu Paloma astukie kwamba kifanyio chake kimechoshwa.. Na mbaya kabisa na Nivea.. Lol

number 4 will be the weapon,na Paloma anamiliki hiyo kitu sijui kama unalijua hilo!!!!
 
Last edited by a moderator:

binamu Mr Rocky, mie sosoliso akichelewa huwa namwambia bora arudi kesho yake mida kama ile anatoka kazini......
 
Last edited by a moderator:
What i know well kutoka kwako ni kuwa una familia nzuri
na unao upendo wa kutosha kwao,
kuhusu penda penda soma hii hapa

[TD="class: xl67"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.[/TD]

[TD="class: xl67, width: 54"]Yakobo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]4[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]8[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. [/TD]


Mamndenyi endelea kuniombea aise hili pepo la penda penda liishe niwe mtu mwema kabisa
 

hahahahaaaa.......pole sasa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…