Vidume wenzangu tumejipangaje na mwezi huu wanaanza kufunga hawa.

Mi kuna mmoja tushapangana namla siku x ya ramadhani..

Tena anakuja kulala gheto the whole day from morning till next day, aje anipikie na kila kitu.

Ramadhani sio sababu, UTAMU WANATOA SANAA TUU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Baada ya muda fulani huyu atakuja kufungua uzi humu akilalamikia maisha

Vijana acheni upumbavu...kweli CCM ni tatizo,lakini hebu tupunguze upumbavu kwanza

Kweli kijana mzima,dunia hii watu wanapambana kila siku kugundua vitu vizuri na namna zote kufanya dunia iwe mahali pazuri ...wewe unawaza NGONO?

Mimi sio muislamu lakini Huna adabu kwa kutaja upumbavu wako na tendo takatifu ambalo ni ibada kuu kwa wenzangu

Bahati mbaya watu kama ninyi mnazeeka
 
Hivi Kuna mwanamke mtamu? Huo utamu wake ukoje?
 
Wewe umevumbua nini? Pia ngono ndio imefanya wewe ukazaliwa, tena wewe huenda ukawa siyo mtoto wa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…