Vidume wenzangu tumejipangaje na mwezi huu wanaanza kufunga hawa.

Vidume wenzangu tumejipangaje na mwezi huu wanaanza kufunga hawa.

Ukristo ni nini? Vitu umeletewa na wazungu, ndio unajimwambafai navyo.😂
Suluari...simu...elimu ...mashati...gari...kuvitaja vingi,tumeletewa na wazungu
Vitupe basi tafuta pori nenda kavae magome ya miti au ngozi ukae uwinde na kuokota matunda

Usichague vya kuacha au kuponda kama dini tuu...Acha vyote
 
Wewe umevumbua nini? Pia ngono ndio imefanya wewe ukazaliwa, tena wewe huenda ukawa siyo mtoto wa ndoa.
Yote kwa yote...ukute hapo una degree au diploma...basi form 4 au form 6
Jamii inaweza tegemea jambo jipya kwa kijana hasara namna hii...jua lote hili anawaza ngono?
Huyu anaweza kuwa na fikra yoyote kuhusu dirt ya taifa ya maendeleo,kuipinga au kuisupport?

Ona aibu
 
Wewe unawaza nini ukute kiazi tu, unasubiri ajira za sa 💯
 
Sema wazinzi wenzio, wenye ndoa zao wataendelea kuenjoy uumbaji wa Mungu.
 
Sema wazinzi wenzio, wenye ndoa zao wataendelea kuenjoy uumbaji wa Mungu.
Well said...huyu hawezi sifia ndoa...dada gani anaweza kufunga ndoa na mwanaume anaewaza ngono kama mnyama...so akimpata watakuwa wanafanana na haitakuwa ndoa
 
Back
Top Bottom