Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe humlindi hata wa kwako mwenyewe! Unamkamata, kisa mtazamo tofauti juu ya sera ya uwekezaji wa bandari ya nchi.
Halafu ukishtuka unamwachia, unamvua ubalozi ili uje umkamate tena. Aibu. Office of Legal Counsel ya Ikulu itafutiwe mwekezaji awe anawasaidie ushauri wa kisheria.