Balozi mpuuzi anashughulikiwa ipasavyoLaughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe humlindi hata wa kwako mwenyewe! Unamkamata, kisa mtazamo tofauti juu ya sera ya uwekezaji wa bandari ya nchi.
Halafu ukishtuka unamwachia, unamvua ubalozi ili uje umkamate tena. Aibu. Office of Legal Counsel ya Ikulu itafutiwe mwekezaji awe anawasaidie ushauri wa kisheria.
Kashachanganyikiwa huyoMama Abdala anaelekes kusikojulikana.
na hana washauri wa kumwambia cha maanaMh. Rais atafute kioo, halafu aangalie hicho kioo,atakaye muona hapo basi ajue huyo ndiye anayemkwamisha.
Slaa katishia kufanya mapinduzi sio kwa sababu ya sera mla mihogo hana sera.Unamkamata, kisa mtazamo tofauti juu ya sera ya uwekezaji wa bandari ya nchi.
Katishia kufanya mapinduzi leta evidence na mashitaka mahakamani...Slaa katishia kufanya mapinduzi sio kwa sababu ya sera mla mihogo hana sera.
Hukuona video yakeKatishia kufanya mapinduzi leta evidence na mashitaka mahakamani...
si uisome vizuri na uielewe vema hiyo viena protocol halafu ndio uje pole pole kueleza dukuduku kuliko kamsitari kamojaLaughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe humlindi hata wa kwako mwenyewe! Unamkamata, kisa mtazamo tofauti juu ya sera ya uwekezaji wa bandari ya nchi.
Halafu ukishtuka unamwachia, unamvua ubalozi ili uje umkamate tena. Aibu. Office of Legal Counsel ya Ikulu itafutiwe mwekezaji awe anawasaidie ushauri wa kisheria.
Mungu atupatie rais Watanzania maana huyu wa sasa ameshaonesha mwelekeo wake hauna afya kwa Taifa.Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe humlindi hata wa kwako mwenyewe! Unamkamata, kisa mtazamo tofauti juu ya sera ya uwekezaji wa bandari ya nchi.
Halafu ukishtuka unamwachia, unamvua ubalozi ili uje umkamate tena. Aibu. Office of Legal Counsel ya Ikulu itafutiwe mwekezaji awe anawasaidie ushauri wa kisheria.
Vienna Protocol sio quantum mechanics. Ni mkataba wa kimataifa wa kulinda wanadiplomasia. Balozi hakamatwi kamatwi ovyo. Plain and simple.si uisome vizuri na uielewe vema hiyo viena protocol halafu ndio uje pole pole kueleza dukuduku kuliko kamsitari kamoja
Issue kubwa kwa Slaa ni ukatoliki wake; huenda hata Mabeyo akakutana na kadhia hiyo kwani nae ni mkatoliki. itachukua uamuzi mgumu sana serikalini kutangaza Balozi Mabeyo.Mungu atupatie rais Watanzania maana huyu wa sasa ameshaonesha mwelekeo wake hauna afya kwa Taifa.